Sure?Huko Hakuna issue tafuta kwingine. Kambi ya Mtendeli Mwezi wa Pili inafungwa rasmi.itabaki kambi ya Nduta na Nyarugusu. Na kumbuka wwkimbizi kutoka Burundi wanaohifadhiwa kambi ya Nduta kila siku wanarejeshwa kwao. Huko kambini Hakuna future kabisa.
Kule Nyarugusu mashirika yameanza kufanya kazi za Hosting community ( kwenda kusaidia Jamii za watanzania) labda ujaribu huko. Lakini future is not promising.
Mbona bado wanatoa nafasi za kazi?Huko Hakuna issue tafuta kwingine. Kambi ya Mtendeli Mwezi wa Pili inafungwa rasmi.itabaki kambi ya Nduta na Nyarugusu. Na kumbuka wwkimbizi kutoka Burundi wanaohifadhiwa kambi ya Nduta kila siku wanarejeshwa kwao. Huko kambini Hakuna future kabisa.
Kule Nyarugusu mashirika yameanza kufanya kazi za Hosting community ( kwenda kusaidia Jamii za watanzania) labda ujaribu huko. Lakini future is not promising.
Mkuu hiyo ndio taarifa ninakupa fanya research uthibitishe ninachozungumzambona bado wanatoa nafasi za kazi?
Swali langu ni vipi mbona bado wanatoa nafasi za kazi?Mkuu hiyo ndio taarifa ninakupa fanya research uthibitishe ninachozungumza
Me: Tz hakuna ajira za walimu.swali langu ni vipi mbona bado wanatoa nafasi za kazi?
Hivyo ni vitu viwili tofauti_Me: Tz hakuna ajira za walimu.
You: Mbona vyuo bado vinafundisha kozi za ualimu?
Me:
Kuna watu wanapata kazi sehemu nyingine au kuacha kazi. Lazima pengo lizibwe. Hakuna kazi mpya zinatangazwa kule. Ukiona tangazo jua Ni anatafutwa mtu akajaze nafasi ya mtu.swali langu ni vipi mbona bado wanatoa nafasi za kazi?
Niambie shirika lililotangaza nafasi mpya Sasa hivi ...Hivyo ni vitu viwili tofauti_
amesema kambi zinafungwa from February na currently zilitolewa nafasi za kazi za 1yr contract ,
Je hao watendaji wanakwenda kufanya nini?
Hiyo inafananaje na swala La waalimu?
Danish.Niambie shirika lililotangaza nafasi mpya Sasa hivi ...
Kwani ukipewa mkataba wa mwaka mmoja watu hawawezi kuuvunja?
Huko Congo kitanuka muda si mrefu..wakimbizi watarudi kama kawaida.Huko Hakuna issue tafuta kwingine. Kambi ya Mtendeli Mwezi wa Pili inafungwa rasmi.itabaki kambi ya Nduta na Nyarugusu. Na kumbuka wwkimbizi kutoka Burundi wanaohifadhiwa kambi ya Nduta kila siku wanarejeshwa kwao. Huko kambini Hakuna future kabisa.
Kule Nyarugusu mashirika yameanza kufanya kazi za Hosting community ( kwenda kusaidia Jamii za watanzania) labda ujaribu huko. Lakini future is not promising.
Kambini Sasa hivi Hakuna kazi za ku-volunteer.Danish.
kijana akaombe hata huko akipata nafasi itamsaidia hata pengine.
Hii ni serikali ya awamu ya tano. Michezo ya kuleta wakimbizi imeshabinywa. Watabebana wenyewe.Huko Congo kitanuka muda si mrefu..wakimbizi watarudi kama kawaida.
Uko sahihi Sana, lakini hiki ndo kipindi kizuri Sana kwa sababu haya mashirika hupata muda wa kustawi Sana baada ya myumbo wa kipindi Kama hiki. Najua Evalist wa Burundi hajawahi pata changamoto na kumbuka maadui wa Burundi Ni Museven na Kagame, hawa wapuuzi hawaeleweki.Huko Hakuna issue tafuta kwingine. Kambi ya Mtendeli Mwezi wa Pili inafungwa rasmi.itabaki kambi ya Nduta na Nyarugusu. Na kumbuka wwkimbizi kutoka Burundi wanaohifadhiwa kambi ya Nduta kila siku wanarejeshwa kwao. Huko kambini Hakuna future kabisa.
Kule Nyarugusu mashirika yameanza kufanya kazi za Hosting community ( kwenda kusaidia Jamii za watanzania) labda ujaribu huko. Lakini future is not promising.
Sio kambi zote. Inafungwa ile ya wilayani Kakonko (Mtendeli). Zingine mbili za Kasulu na Kibondo zinabaki. Ila Nduta nayo haina muda mrefuHivyo ni vitu viwili tofauti_
amesema kambi zinafungwa from February na currently zilitolewa nafasi za kazi za 1yr contract ,
Je hao watendaji wanakwenda kufanya nini?
Hiyo inafananaje na swala La waalimu?
Hakuna kitu cha namna hiyo. Walitarajia Kabila asababishe vita, lakini aliwapiga chenga ya mwili. Wacongo wamebaki Congo wanajenga nchi yaoHuko Congo kitanuka muda si mrefu..wakimbizi watarudi kama kawaida.