Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,770
Mao Tse Tung alikuwa kiongozi wa China ambaye wananchi wa China na hususan wanachama wa Chama cha Ukomunisti cha China walimfanya kama mungu mtu.
Kitu kikiitwa "Maoist" kinasemwa kuwa na falsafa na muonekano wa kushabihiana na mambo ya Mao.
Hapo nilisema kwamba ACT inamfanya Zitto kuwa kama Mao wao, mungu mtu fulani ambaye anaabudiwa, sio kiongozi wa kawaida wa chama.
Hawa ACT ni Social Democrats au Maoists?
Ayatollah: Zitto Khamenei Zuberi Kabwe.............ACT Supreme Leader