johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,019
Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imemteua Bonifasia Mapunda kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa chama hicho nafasi ambayo haikuwepo awali imepatikana baada ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho kufanya mabadiliko madogo ya Katiba ya chama
Credit: Mwanahalisi Digital
Leo ni Njia ya Msalaba
Credit: Mwanahalisi Digital
Leo ni Njia ya Msalaba