Kazi yangu na wife material vinapishana,dah

mchapa

Member
Oct 21, 2012
20
16
Wakuu naomba msaada ktk hili,nikiwa chuo miaka miwili iliopita nlikua na gf wangu ambaye nliamini ndo atakua wife kwn tulikua pamoja toka nikiwa o levo na tulipendana sana kwa miaka yote hiyo,shida ilianza baada ya kumaliza chuo coz ilikua ngumu sana kupata kazi kiasi gf akaanza kuchoka na hadith za kutafuta kazi,mbaya zaidi kwao walianza kulazimisha tuoane,sikua na jinsi pale mpenzi aliponiambia anahitaji kuolewa na ndo ikawa mwisho wetu.mwaka jana mwishoni nlibahatika kupata kazi nzuri tu ktk moja ya migodi ya barrick,ni muda sasa nimekua nikitafuta msichana ambaye ni wife material ili nimuweke ktk njia ya kua mke tatizo ni kwamba siwaoni hata wako wapi maana nakaa mgodi wik 6 natoka nje 3 nabakia kukutana tu wajanja wa mjini ambao nahisi kabisa wanacheki ujazo wa pochi na kibaya zaidi yule du wa zamani nae anasumbua sana hadi nahisi kupata hisia juu yake ingawa sihitaji kufanya hivyo,naomba ushauri wenu ntampata vp mke wa kweli maana siku nazo zinazidi sogea am27 now?
 
Kwani huyo msichana wako wa zaman kishaolewa?kama bado vp unamapenzi naye au ushampotezea?wewe ni husband material na una nia ya kuoa au wataka kuoa kwa hofu ya umri?kama huna muda hata wa kumtafuta huyo wife hivi utaweza kumaintain huyo mke?
 
Jibu unalo sema hujatulia. Wanawake wote chumbia hata oa lakini siyo yule wa kwanza aliyekushit wakati ukiwa kwenye ubao. She does not love you except your purse. Kama utatulia na kuomba likizo na kufanya utafiti mbona wanawake ni wengi tena wa kufaa mwanangu. Hivyo nshakupa jibu ingawa unaweza kuuliza jibu lenyewe ni lipi. Think more na uache papara na kukata tamaa.
 
Kwani huyo msichana wako wa zaman kishaolewa?kama bado vp unamapenzi naye au ushampotezea?wewe ni husband material na una nia ya kuoa au wataka kuoa kwa hofu ya umri?kama huna muda hata wa kumtafuta huyo wife hivi utaweza kumaintain huyo mke?

Hajaolewa mkuu ila yupo kitaa ambapo na mi naishi na tabia yake haikua nzuri baada ya kuachana kiasi kila mtu anajua,sina mapenzi nae mara nyingi anapiga cm,nia ya kuo ninayo ila mda ndo tatizo
 
Mgodi gani huo mnaishi wanaume watupu? Si uchumbie hukohuko. Unataka mke wa daslamu?

dah yani tunao ishi camp(ndani ya mgodi) watu 500 wanawake wako 70,cheki hiyo ratio unajipenda hapo na mbaya wanawake wenyewe washakua wapenda hela wanaongwa sana huku wala hawana mapenzi hayo ya ndoa na wao wenyewe 2 wanazeekea huku.
 
Hajaolewa mkuu ila yupo kitaa ambapo na mi naishi na tabia yake haikua nzuri baada ya kuachana kiasi kila mtu anajua,sina mapenzi nae mara nyingi anapiga cm,nia ya kuo ninayo ila mda ndo tatizo

'Haukua nzuri baada ya kuachana' kwa maoni yangu
She was searching na akawa anaishia kwa wakora ....au....
Kwa kuwa alikupenda sana na ukamdisappoint basi alikata tamaa na akaacha kujithamini.

Kama wakati mlikuwa pamoja alikuwa katulia n she was 'wife material' mpe chance as friend kwanza, then ukiona ametulia, mkapime muoane. "Zimwi likujualo halikuli likakwisha"
 
Mkuu tulia utafute mwanamke wa kuoa, umri wako bado sana.Yule gf wako wa zamani tupilia mbali kabisa hafai.Amekaa kimaslahi zaidi.Ila uamzi wa mwisho unao wewe.Kila la kheri!
 
Kwani huyo msichana wako wa zaman kishaolewa?kama bado vp unamapenzi naye au ushampotezea?wewe ni husband material na una nia ya kuoa au wataka kuoa kwa hofu ya umri?kama huna muda hata wa kumtafuta huyo wife hivi utaweza kumaintain huyo mke?

mdogo wangu Ciello naona unauliza mapwenti tupu!kama vipi mwendee PM!hujambo lakini?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu naomba msaada ktk hili,nikiwa chuo miaka miwili iliopita nlikua na gf wangu ambaye nliamini ndo atakua wife kwn tulikua pamoja toka nikiwa o levo na tulipendana sana kwa miaka yote hiyo,shida ilianza baada ya kumaliza chuo coz ilikua ngumu sana kupata kazi kiasi gf akaanza kuchoka na hadith za kutafuta kazi,mbaya zaidi kwao walianza kulazimisha tuoane,sikua na jinsi pale mpenzi aliponiambia anahitaji kuolewa na ndo ikawa mwisho wetu.mwaka jana mwishoni nlibahatika kupata kazi nzuri tu ktk moja ya migodi ya barrick,ni muda sasa nimekua nikitafuta msichana ambaye ni wife material ili nimuweke ktk njia ya kua mke tatizo ni kwamba siwaoni hata wako wapi maana nakaa mgodi wik 6 natoka nje 3 nabakia kukutana tu wajanja wa mjini ambao nahisi kabisa wanacheki ujazo wa pochi na kibaya zaidi yule du wa zamani nae anasumbua sana hadi nahisi kupata hisia juu yake ingawa sihitaji kufanya hivyo,naomba ushauri wenu ntampata vp mke wa kweli maana siku nazo zinazidi sogea am27 now?

Acha zako mkuu mgodini kuna Mademu kibao, kama ni Buly wapo wa kumwaga kuanzia kakora mpaka kahama mjini na wengine wapo mgodini humohumo, kama ni Buzwagi ,mademu ndio usiseme wapo wa kumwaga wazuri kuanzia ndani ya mgodi ,mwendakulima hadi kahama mjini, kama ni Tulawaka ,wapo wa kumwaga kuanzia MUHAMA mpaka Isozibi hadi Mavota ,kama ni North mara, ndio usiseme wako ndani ya mgodi au Nyamongo kijijini hadi mjini.hawa mademu wana upendo wa kweli na pia hawahitaji pesa yako bcoz nao wanapesa , wanachohitaji kwako ni mapenzi ya kweli sio ubabaishaji. au unawaogopa. kama vip ni PM. nikusaidie kutafuta. mimi mwenzio nimempata mmoja ,nafunganaye ndoa mwezi wa december 2012.
 
dah yani tunao ishi camp(ndani ya mgodi) watu 500 wanawake wako 70,cheki hiyo ratio unajipenda hapo na mbaya wanawake wenyewe washakua wapenda hela wanaongwa sana huku wala hawana mapenzi hayo ya ndoa na wao wenyewe 2 wanazeekea huku.

Acha uwongo mkuu,mademu wapo wa ukweli, wewe tu una matatizo
 
tulia tu kamanda wangu. tafuta taratibu utafanikiwa. ukienda pupa utapata bomu tena.
 
Back
Top Bottom