Kazi yangu inanilazimu kutafuta mke kupitia hapa JamiiForums

thats why wanasaikolojia wanakuambia its better kuoa/kuolewa mkiwa katika hali duni lakin upendo kati yenu uwepo kwani harufu ya mendeleo kwenu iko karibu na muda wa kuishi kwenu unakuwa na GUARANTEE kuliko wenye fedha lakini hawana upendo wala furaha ni utumwa
Naomba ufungue uzi wa hiyo elimu ya Saikolojia. Unapoandika theory zako kwenye mada yangu tena personal, you are frankly attacking me.
 
and that would be the end of his stunts, coz the tight schedule is his real job that dude is being paid for!!
Sijaweka mabo yangu yote kwenye thread, sasa hiyo "his real job that dude is being paid for" ni chuki binafsi au hutaki tu nipate. Please people.
 
Kila rakheri Mkuu Gentleman, Upate hitaji la moyo wako, ila sisi wa std 7 umetutenga eti okey nasubiria kama ukishusha vigezo nikuchekiii
 
Kila rakheri Mkuu Gentleman, Upate hitaji la moyo wako, ila sisi wa std 7 umetutenga eti okey nasubiria kama ukishusha vigezo nikuchekiii
Mkuu siwezi kuoa wote. So nimechagua mwenye Diploma au Degree. Kama anayo yeye mwenyewe atajua why. Thanks
 
Back
Top Bottom