Kazi ya udalali: Changamoto na namna bora ya kufanya kazi hii

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,835
2,630
Hello wanaJF,

Ninataka kuanza kazi za udalali wa nyumba za kupanga, kuuza na viwanja hapa Arusha, ila nataka zaidi nijikite kwenye nyumba za kupanga!

Nipeni uzoefu, changamoto na namna bora za kufanya kazi hii.

Kazi ikiwa nzuri na mpango wa kufungua ofisi physically ya kupatikana. Niwe na kausafiri ka kupeleka wateja Sites.

Kwa sasa hivi najishughulisha na biashara ya vifaa vya ujenzi.
 
Mkuu hiyo sio kazi ni dhulma, endelea na hiyo biashara yako ya vifaa vya ujenzi Mungu atakukumbuka.
 
Hello wanaJF,

Ninataka kuanza kazi za udalali wa nyumba za kupanga, kuuza na viwanja hapa Arusha, ila nataka zaidi nijikite kwenye nyumba za kupanga!

Nipeni uzoefu, changamoto na namna bora za kufanya kazi hii.

Kazi ikiwa nzuri na mpango wa kufungua ofisi physically ya kupatikana. Niwe na kausafiri ka kupeleka wateja Sites.

Kwa sasa hivi najishughulisha na biashara ya vifaa vya ujenzi.
Anza mkuu sometime ukifata kila ushauri wa humu jf watu wanakutoa kwenye mstari baadhi waliopo humu ni hopeless wengine wana misongo ya mawazo mimi ndo kazi ninayofanya nimeanza muda kidogo like 6 yrs ago but.

Official nimeanza mwaka jana na matunda ya kazi nayaona pia connection na jamii inakuwa kubwa na heshima asikwambie mtu pesa ipo mtaani ukiamua kukaza cha kufanya wewe nikutengenza brand ili watu wakufahamu kifuaatacho hapo ni make money kwa upande wangu mimi na deal na viwanja,mashamba nyumba za kuuza ,kupangisha etc
 
Anza mkuu sometime ukifata kila ushauri wa humu jf watu wanakutoa kwenye mstari baadhi waliopo humu ni hopeless wengine wana misongo ya mawazo mimi ndo kazi ninayofanya nimeanza muda kidogo like 6 yrs ago but
Official nimeanza mwaka jana na matunda ya kazi nayaona pia connection na jamii inakuwa kubwa na heshima asikwambie mtu pesa ipo mtaani ukiamua kukaza cha kufanya wewe nikutengenza brand ili watu wakufahamu kifuaatacho hapo ni make money kwa upande wangu mimi na deal na viwanja,mashamba nyumba za kuuza ,kupangisha etc
Mkuu kama kuna dalali yeyote unaemfahamu kwa Morogoro naomba uniunganishe nae maana nimepewa kazi ya kuuza nyumba hapa hata sijui nianzie wapi kuwatafuta wateja.
 
Anza mkuu sometime ukifata kila ushauri wa humu jf watu wanakutoa kwenye mstari baadhi waliopo humu ni hopeless wengine wana misongo ya mawazo mimi ndo kazi ninayofanya nimeanza muda kidogo like 6 yrs ago but.

Official nimeanza mwaka jana na matunda ya kazi nayaona pia connection na jamii inakuwa kubwa na heshima asikwambie mtu pesa ipo mtaani ukiamua kukaza cha kufanya wewe nikutengenza brand ili watu wakufahamu kifuaatacho hapo ni make money kwa upande wangu mimi na deal na viwanja,mashamba nyumba za kuuza ,kupangisha etc
Mkuu nije pm?
 
Mkuu kama kuna dalali yeyote unaemfahamu kwa Morogoro naomba uniunganishe nae maana nimepewa kazi ya kuuza nyumba hapa hata sijui nianzie wapi kuwatafuta wateja.
Hiyo nyumba inauzwaje,iko maeneo gani, inakiwanja ukubwa gani,upatikanaji wa maji ukoje,barabara inapitika na mmiliki wa nyumba hiyo yupo?
 
Hiyo nyumba ipo Morogoro Msamvu mtaa wa sume, ina vyumba 6, inauzwa mil 35, ukubwa wa kiwanja sijui, maji yapo, barabara ipo na mmiliki yupo.
 
Back
Top Bottom