Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,165
1. Fundisha kwa uwezo wako sio kwa kujiumiza.
2. Toa quiz kama sehemu ya assignnent
3. Waambie wabadirishane karatasi kusahihishiana
4. Muambie monitor akusanye karatasi zilizosahishwa then arekodi marks za kila mwanafunzi.
4. Kila darasa ingia mara moja kwa week na fundisha masaa mawili
5. Ili kumaliza sylabus wagawie presentation kwa magroup na hakikisha wanapresent wote ili waelewe.
6. Ukifanya hivyo mwalimu watafaulu wote nna uhakika.
Sio kwa watoto wa siku hizi. Akiwa tu nyumbani uki mwambia shika daftar usome ata page moja anadai dingi unazingua . Akienda shule anasoma kwasababu ya kuogopa viboko. Huo muda wa kukaa na wenzake afanye prensentation anautoa wapi. Na kubeti anamwachia nani. Mtoto ukimuuliza msimamo wa premier ligue anatililika kama maji ya mto rufiji. Lakini ukimuuliza What is petty cash hajui amawaza tu yake. Tulipofikia watoto wanafeli sio kwa sababu ya walimu . Bali ni kwa sababu ya melizi na wazazi ku kwepa majukumu yako kama baba au mama. Unakuwaje na mtoto anaenda darasan kapigilia mlegezo unachekelea. Mwalimu kamchap unamaindi. Inafikia hatu mwanafunzi anaona techer kwake sio kitu. Chochote anacho ambiw na mwalimu wake anaona teacher anazingua. Wazazi tujiangalie kwanza wenyewe. Mtoto mwenye maadili haferi darasani kamwe ata kama hakuna mwalimu anajua jinsi ya kujisaidia mwaenyewe. Binafsi sio mwalimu ila nishawahi kufundisha. Na usombe uwe mwalim mtoto mtoto. Mbona utajutaa.