Kazi ya ualimu kweli ni wito

Kazi ya ualimu kweli ni wito

kweli mkuu,ripoti za mitoto 470 bila kuzimua kidogo ni tabu

Sasa mwisho wa mwaka usahihishe karatasi 400+, uwaandalie walimu wa masomo mengine mkeka wa shule nzima. Kisha kama na wewe ni mwalimu wa darasa uandae matokeo ya darasa lako.

Jamvi liandaliwe lipangwe, upate wa kwanza hadi wa mwisho, ujaze report mtu mmoja huyo, inawezekana kweli?

Ualimu si kazi yakukaa utakufa na presha maana unapiga kazi ngumu, wenzio wanaopiga kazi simple kila siku wanakupigia simu aisee naenda site kucheki house yangu.

Mie nafanya kisipoti, hapa naenda shule mwakani na ualimu ndio bye bye, itabaki nilikuwaga.
 
duh hongera yako mkuu,wacha nivumilie mwaka ujao mmoja tu then huku naweka mipango ya kurudi shule
 
Ka vp tafuta chaka lingnwekm hauna kkomaa
tu maana hamna namna nyngne sasa
 
Hamtakiwi kujibu kwa kukukrupuka tu, munatakiwa mufikiri zaid, kuna mwalimu yupo kijijini uki, maji shida , huduma zote za kijamii ni hafifu, hivi kama haya masomo ya sayansi bios, chemistry, math,physics, kwa mwanafunzi ambaye hana hata kitabu cha kujisomea nyumbani atafanyeje assignment io kama si kukopia kwa wenzake na mwisho wa siku amepata 10 marks. Hivi munajua kuwa kuna baadhi ya shule kuna kutabu kimoja tu, ten kitabu icho anatumia mwalimu na eleweni ya kuwa kwa shuke zenye vitabu ambazo ziko kijijini, mwanafunzi anaazima kitabu na anatakiwa kabla ya kurudi nyumbani kitabu icho arejeshe kwa afisi ya taaluma. Think twice for better results.

Hizo shida zimeletwa na huyo mwl au ni kazi ya serikali kuweka mazingira mazuri?
 
Sijajua hii approach utaitiaje? Yaani motto kama form one anaanza na discussion?? Labda kama wanaandika vina vya mashairi kama vile "Mimi ni ngumu naishi kwenye dumu" akiwa na lengo la kupata U mwishoni ila kama ndo "Subject matter" thetechnique is invalid!!!
 
Hahahaha! Mi nafundisha, form 1 had form 6, yan ni shida isiyoelezeka,
Yan, wameanzisha A level wakati walimu hakuna.
Sasa wale wachache tuliopo ndo tunabeba huo mzigo,

Huko Alevel huwa natoa assignment, grp discussion basi
Nguvu nyingi
Naweka form 1 na form 3 hawa sikosi kipindi,
Form 2 na 4 nachagua topic 2 tu, nafundisha, maswali yanaendelea,
 
We angalia ikama inasemaje, vipindi 24-32 kwa wiki so vikizidi mwambie mkuu wa shule atafute mtu. Shulen4 kwangu tuna mwalim 1 wa maths hvyo anafundisha madarasa ya mtian4 2&4 bs. Jiongeze mwayego
 
hii kali aisee,hii ndio uuu uuuuu iko kama kikombe uuuuuu!
 
We angalia ikama inasemaje, vipindi 24-32 kwa wiki so vikizidi mwambie mkuu wa shule atafute mtu. Shulen4 kwangu tuna mwalim 1 wa maths hvyo anafundisha madarasa ya mtian4 2&4 bs. Jiongeze mwayego

nashukuru mkuu
 
Hahahaha! Mi nafundisha, form 1 had form 6, yan ni shida isiyoelezeka,
Yan, wameanzisha A level wakati walimu hakuna.
Sasa wale wachache tuliopo ndo tunabeba huo mzigo,

Huko Alevel huwa natoa assignment, grp discussion basi
Nguvu nyingi
Naweka form 1 na form 3 hawa sikosi kipindi,
Form 2 na 4 nachagua topic 2 tu, nafundisha, maswali yanaendelea,

form 1 hadi 6?!!!!!
 
Back
Top Bottom