Kazi ya ualimu kweli ni wito

Kazi ya ualimu kweli ni wito

O level wanahitaji kwenda nao taratibu na kwa makini. wewe mambo ya chuo unashauri kwa O level? Hiyo approach yako ==mass failure

Nilishawafanyia F3 na F4 Bios. Somo langu liliongoza kwa ufaulu shuleni. By th way lazima ujue darasani kuna waliokuja kukua, na wanaojitambua wapo pia wale wa kati kati wapo. Set goals zako kama nwalimu deal na wale wa katukati na wale wanaojitambua. Walokuja kutafta wachumba wapotezee bila wao kujua
 
Waalimu tuna kazi sana, the gvt sucks! It's really appalling reading such harangue post
 
O level wanahitaji kwenda nao taratibu na kwa makini. wewe mambo ya chuo unashauri kwa O level? Hiyo approach yako ==mass failure

nilishajaribu njia ya mkuu GOJAGA NIZE,kiukweli inahitaji moyo sana
 
shulen kwetu vtabu vya sayansi vpo vya kutosha kwa kidato cha tatu na nne ila wanafunz wamekimbilia arts sababu hawana msingi mzur wa masomo ya sayansi

mwanafunz kasoma kuanzia form one hata form two hajaona mwalim wa chemistry wala maths
 
hili nalo ni tatizo mkuu,hivi hata ungekuwa wewe ungefanya nini?
 
Jamani,

Naomba nijipambanue tu,mimi ni mwalimu wa sekondari ya Kata, nafundisha masomo ya book-keeping na commerce, hapa nilipo nafundisha peke yangu form 1 hadi form 4.

Nina wanafunzi kama 470! kuna miaka ya nyuma wanafunzi walikuwa wanachangishwa sh 5000 kila mwanzo wa muhula kwa ajili ya kuajiri walimu wa kujitolea ambao kiukweli walikuwa wananisaidia sana, sasa nasikia kuanzia mwakani wazazi hawatoi hiyo pesa!

Kwa maana nitakuwa peke yangu kwa madarasa manne!hata kama ni bure ndo hivi kweli?au watachukua na walimu walio mtaani bila kazi tusaidiane?au nikalime tu?

Wakuu msaada hapa, madarasa manne sio masikhara?

Hata mie ni mwl wa maths i teach from 1to 4, fundish kadr y uwezo wako usijiumize
 
Kama sijakosea kila Mwalimu ana kiwango cha mwisho kabisa cha idadi ya vipindi vya kufundisha kwa week

ni kweli,hata kama ni kipindi kimoja kimoja bado unakuta kuna mikondo A,B,C....usiombe kwenye kuandaa ripoti sasa!
 
1. Fundisha kwa uwezo wako sio kwa kujiumiza.
2. Toa quiz kama sehemu ya assignnent
3. Waambie wabadirishane karatasi kusahihishiana
4. Muambie monitor akusanye karatasi zilizosahishwa then arekodi marks za kila mwanafunzi.
4. Kila darasa ingia mara moja kwa week na fundisha masaa mawili
5. Ili kumaliza sylabus wagawie presentation kwa magroup na hakikisha wanapresent wote ili waelewe.
6. Ukifanya hivyo mwalimu watafaulu wote nna uhakika.

Sekondari, umri miaka 13-17 sijui kama wataweza maana Nyerere alitudekeza sana na sisi tunawadekeza watoto wetu.

Chuo na sekondari ni vitu viwili tofauti
 
usijali elimu ikiwa bure basi hata marks za bure zitakuwepo so ww piga kazi tu na watoto watafaulu tu
 
Walimu tunaofundisha shule nzima wenyewe tu , tupo kibao, lkn mimi nafanya kadri ya uwezo wangu.
 
wewe kweli mwalimu,hongera

Nashukuru mkuu sema toka nigraduate niliingia darasan miez miwili nikaacha.

Mazingira magumu, no electricity, no maji, simu yenyewe airtel tu. Nilipojipima kama naweza kuvumilia nikaona siwezi na sina wito nikasepa zangu..
 
1. Fundisha kwa uwezo wako sio kwa kujiumiza.
2. Toa quiz kama sehemu ya assignnent
3. Waambie wabadirishane karatasi kusahihishiana
4. Muambie monitor akusanye karatasi zilizosahishwa then arekodi marks za kila mwanafunzi.
4. Kila darasa ingia mara moja kwa week na fundisha masaa mawili
5. Ili kumaliza sylabus wagawie presentation kwa magroup na hakikisha wanapresent wote ili waelewe.
6. Ukifanya hivyo mwalimu watafaulu wote nna uhakika.

Nimeipenda
 
Back
Top Bottom