Kazi ya ualimu kweli ni wito

Kazi ya ualimu kweli ni wito

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
4,251
Reaction score
2,870
Jamani,

Naomba nijipambanue tu,mimi ni mwalimu wa sekondari ya Kata, nafundisha masomo ya book-keeping na commerce, hapa nilipo nafundisha peke yangu form 1 hadi form 4.

Nina wanafunzi kama 470! kuna miaka ya nyuma wanafunzi walikuwa wanachangishwa sh 5000 kila mwanzo wa muhula kwa ajili ya kuajiri walimu wa kujitolea ambao kiukweli walikuwa wananisaidia sana, sasa nasikia kuanzia mwakani wazazi hawatoi hiyo pesa!

Kwa maana nitakuwa peke yangu kwa madarasa manne!hata kama ni bure ndo hivi kweli?au watachukua na walimu walio mtaani bila kazi tusaidiane?au nikalime tu?

Wakuu msaada hapa, madarasa manne sio masikhara?
 
Uwe na subira, naamini kutakuwa na mpango mbadala kukabili changamoto husika. Lakini tambua wrote tunatakiwa kufikiri ki-chanya katika jambo LA ubure wa elimu.
 
jamani,naomba nijipambanue tu,mimi ni mwalimu wa sekondari ya kata,nafundisha masomo ya book-keeping na commerce,hapa nilipo nafundisha peke yangu form 1 hadi form 4,nina wanafunzi kama 470!kuna miaka ya nyuma wanafunzi walikuwa wanachangishwa sh 5000 kila mwanzo wa muhula kwa ajili ya kuajiri walimu wa kujitolea ambao kiukweli walikuwa wananisaidia sana,sasa nasikia kuanzia mwakani wazazi hawatoi hiyo pesa!kwa maana nitakuwa peke yangu kwa madarasa manne!hata kama ni bure ndo hivi kweli?au watachukua na walimu walio mtaani bila kazi tusaidiane?au nikalime tu?wakuu msaada hapa,madarasa manne sio masikhara?!!

Acha kuumiza kichwa jibu litapatikana kwenye matokeo ya mitihani ya mwakani
Watu watajua maana ya bure isiyokuwa na maandalizi ni nini
Na wapenda bure wataona faida yake
 
Wazazi wataamia ni nini UBORA wa Elimu na UBURE
tatizo michango mlikuwa mnaizuia mifukoni watoto wanafeli
sisi huku michango kwenye shule binafsi ni km kawa
usafiri chakula sare tuition nk mbali na ada ya masomo ya 380.000
 
1. Fundisha kwa uwezo wako sio kwa kujiumiza.
2. Toa quiz kama sehemu ya assignnent
3. Waambie wabadirishane karatasi kusahihishiana
4. Muambie monitor akusanye karatasi zilizosahishwa then arekodi marks za kila mwanafunzi.
4. Kila darasa ingia mara moja kwa week na fundisha masaa mawili
5. Ili kumaliza sylabus wagawie presentation kwa magroup na hakikisha wanapresent wote ili waelewe.
6. Ukifanya hivyo mwalimu watafaulu wote nna uhakika.
 
Duuuh
Heshima kwako by profeshiono
 
shikamoo mwalimu.ubunifu ni tatizo kwetu
 
Asante Mkuu
 
Wazazi wataamia ni nini UBORA wa Elimu na UBURE
tatizo michango mlikuwa mnaizuia mifukoni watoto wanafeli
sisi huku michango kwenye shule binafsi ni km kawa
usafiri chakula sare tuition nk mbali na ada ya masomo ya 380.000

heheheee!
 
Acha kuumiza kichwa jibu litapatikana kwenye matokeo ya mitihani ya mwakani
Watu watajua maana ya bure isiyokuwa na maandalizi ni nini
Na wapenda bure wataona faida yake

aisee,lakini mkuu hawa ni wadogo zetu ati!
 
Uwe na subira, naamini kutakuwa na mpango mbadala kukabili changamoto husika. Lakini tambua wrote tunatakiwa kufikiri ki-chanya katika jambo LA ubure wa elimu.

mkuu baraka,sasa huo mpango mbadala wangeutangaza mapema maana tunakata tamaa eti!
 
Hamtakiwi kujibu kwa kukukrupuka tu, munatakiwa mufikiri zaid, kuna mwalimu yupo kijijini uki, maji shida , huduma zote za kijamii ni hafifu, hivi kama haya masomo ya sayansi bios, chemistry, math,physics, kwa mwanafunzi ambaye hana hata kitabu cha kujisomea nyumbani atafanyeje assignment io kama si kukopia kwa wenzake na mwisho wa siku amepata 10 marks. Hivi munajua kuwa kuna baadhi ya shule kuna kutabu kimoja tu, ten kitabu icho anatumia mwalimu na eleweni ya kuwa kwa shuke zenye vitabu ambazo ziko kijijini, mwanafunzi anaazima kitabu na anatakiwa kabla ya kurudi nyumbani kitabu icho arejeshe kwa afisi ya taaluma. Think twice for better results.
 
Kabla sijakimbia huu wito nilikuwa kijijini ambako hiyo miundo mbinu tajwa hapo juu yaote haikuwepo. kama wewe ni mwalimu wa science najua unajua huwa tunafundishwa altanative ways za kufanya practical au jinsi ya kutengeneza teaching aids kutokana na mazingira yako. Naamini kama ukiikubali hali yako na mazingira yako, huwezi kosa namna ya kuwasaidia hao wanafunzi.
 
me naona tusifarijiane wakuu tuambiane ukweli,hali ya shule za kata wengi tunazifahamu kama alivyoongea mkuu hapo juu,NI SHIDA
 
Back
Top Bottom