Kazi ya ualimu kumbe ni burudani Tosha

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
WhatsApp Image 2017-01-09 at 1.35.34 PM.jpeg
 
hapo lazima usahau shida zote za nchi hii...:D:D
ila tarehe 6 shule gani ilikuwa imeshafunguliwa mkuu?
 
Hivi shule si zimefunguliwa Leo jamani hiyo tarehe 6 ilikuwaje? Halafu huo mwandiko ni qa mtu mzima na si wa mtoto wa darasa la kwanza hadi la la Tatu.
 
Maswali namba 3, 4, na 5 kayajibu kwa akili hata kama mwalimu alitegemea vingine. Anastahili maksi japo za kufutia machozi.
 
Eti dogo ameambiwa tunga sentensi kwa kutumia neno katika akasema hivi Katika kiuno upendwe na bwana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom