Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 750
- 367
anahitajika mtu wa salooni ya kike mchapa kazi na anaependa kufanya kazi bila kusimamiwa
awe anajua kusuka yeboyebo aina zote, ku bond, kuset vitunguu, na aina nyingine za last akiwa mjanja wa kosoma wateja wanahitaji nini kwa wakati na maeneo husika itafaa zaidi.... eneo la kazi ni tabata shule {maduka mawili area
piga 0652101871... karibu