Prof_rutta22
Member
- Aug 29, 2022
- 50
- 27
Habari za mda huu waungwana mimi ni mkufunzi wa kujitolea katika moja ya chuo hapa mjini kwa mda wa mchana hivyo natafuta kazi ya kuniingizia kipato mda wa usiku ili kubalance maslah madogo ninayoyapata kwa sasa
Naomba ushirikiano wenu pale utakapopata au kuwa na kazi yoyote inayozingatia utu na maslah
Natanguliza shukran za dhati kwenu
mawasiliano: 0624576521
Naomba ushirikiano wenu pale utakapopata au kuwa na kazi yoyote inayozingatia utu na maslah
Natanguliza shukran za dhati kwenu
mawasiliano: 0624576521