Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Hivi ushawahi penda msichana hadi mkiwa church unamlipia sadaka...unaweka kwa kikapu alafu unamwambia mchungaji kwa ishara ya vidole kuwa sadaka uliyotoa ni."Ya wawili? "..ikifikia hatua hii basi ujue kazi ya moyo ni kusukuma CHAPATI
�����
�����