kazi ya makumbusho ha ha ha ha ha

abunerimgaya

Member
Nov 13, 2012
78
15
Jamaa anapiga simu Makumbusho
ya Taifa"Haloo,hapo ni
Makumbusho ya Taifa?"OFISI:"N
dio 2kusaidie nini?"
JAMAA:"Ok,naomba mnikumbushe
mwaka juzi saa yangu niliipoteza
wapi?" OFISI:"Pumbavu!Hiyo co
kazi ye2...! JAMAA:"Sasa
makumbusho mnakumbusha
nini? OFISI:"Tunahifadhi mambo
ya zamani" JAMAA:"Ahaa...kumbe
saa yangu mtakuwa mnayo..!
mnazuga tu..!
 
Back
Top Bottom