Waache nitawajibu ukiendelea wajibunwatakuita Majina ya ajabu, niachie hawa mimiUtaipata wapi kazi isiyo rasmi(formal employment) inayolipa 300,000 kwa mwezi?
😀😀😀😃 na ukihoji ana jam vibya sanaWw n mke wa jamaa? Mbona maelezo mengi kuliko mhusika?
Itakuwa ana mimba changa ya jamaa😀😀😀😃 na ukihoji ana jam vibya sana
Mimi sijasema 😅😅 na boss wake yupo kishari kama anamiliki pesa za ujambaziItakuwa ana mimba changa ya jamaa
🤣🤣🙌Naitwa s nipo mkoa x nimeona tangazo lako #jamiiforums
Kuuza duka
Vigezo namba ya nida
Na mtu wa karibu nipe muongozo nitapata ajira
.
.
.
.
Huyo ni mtu katuma MSG anaomba KAZI
Vaa Uhusika Wangu halafu nisaidieni kumjibu huyu mtu...
Mawinga hao. Wanajilipa wenyewe kwa kupandisha bei za bidhaa au kuongeza bidhaa zao dukani na kuuza kinyemela.Mpaka laki wanalipwa mzee,na malazi na chakula ni kujitegemea.
Kweli boss wake yupo harshy sana😂🤣😂🤣Mimi sijasema 😅😅 na boss wake yupo kishari kama anamiliki pesa za ujambazi
Jamaa ana ng'ata meno hatari😃😃😃😃Kweli boss wake yupo harshy sana😂🤣😂🤣
Kumbe boss naye ndo walewale eeh atalizwa mtuWatu wamekasirika ma mshahara wa boss, nae boss ana kiburi hatari🤣
Kwa nini iwe hatari😃Duhh ni hatari😂
Au pesa za waganga, mambo mengi knomaMimi sijasema 😅😅 na boss wake yupo kishari kama anamiliki pesa za ujambazi
Uzi umetembea balaa kuangalia vijana wanampopoa boss in town!Kwa nini iwe hatari😃
Na bos katuna na miiba kama nungu nungu😄Uzi umetembea balaa kuangalia vijana wanampopoa boss in town!
Acha awanyooshe unafkiri kuanza kumlipa mtu ni kazi ndogo!Na bos katuna na miiba kama nungu nungu😄
Kuna ubaya kijana kuwa Winga...Mkuu sasa mbona uko harshy hivyo? Huo mshahara wa 300,000 kwa mwezi ina maana atakuwa analala na kula kwako au atakuwa anajitegemea kwa kila kitu hadi nauli? Nyie ndio mnasababisha vijana wanakuwa mawinga kwa kupandisha bei bidhaa ili wajilipe mishahara indirectly.
Wabongo kwa kuongelea mambo msiyoyajua hamjambo.Kama ni hivyo Inaonekana mlikuwa wengi, Kuna aliyekuzidi qualifications