Kazi ya kuuza duka Kimara

A 16-hour workday, Mon to Sun, all for TZS 300,000? If so, that is exploitation at best!

You can make money without turning anyone into a slave!
 
Wabongo nMnalalamika hakuna ajira, alafu ajira ikipatikana tena mnadai posho nje ya mshahara. Na uweledi hamna🚮
Nchi kutokuwa na ajira siyo ruhusa ya kufanya wanaotafuta kazi kukatazwa kuulizia kiwango na mfumo wa malipo. Ni haki ya kila mwajiriwa kujua haki yake ili kusiwe na mgogoro. Mambo kama hayo ndiyo hufanya wafanyakazi wengi wageuke wezi.
 
Sheria ya EWURA hairuhuruhusu Muuza GESI achanganye gesi na bidhaa yyte ile.

Lakini wanapotezea maana wakisema sheria ifatwe Wengi watalia.

GESI ni kama MAFUTA ni chanzo cha MOTO/NISHATI ni biashara ambayo siku yoyote haitofanywa tena kiholela.

Unakumbuka zamani Tulikua tukitaka MAFUTA YA TAA ukienda kwa mangi unayapata...

Sasa hivi vipi Mafuta ya Taa unayapata kirahisi??

Sasa GESI muda na saa Yoyote sheria ikianza fatwa Hutoona Gesi Mtaani watu wote watafata gesi SHELI kaam zamani au Lah wataenda kununua kwa wauzaji walio idhinishwa na wenye vigezo.

Maana GESI haiuzwi tu ili uiuze kuja VIBALI vya kuiuza..

Utapomalizana na Manispaaa utaenda FIRE nao kuna malipo yao, kuna kaguzi zao na mwisho EWURA kusajiliwa..

Ki ufupi hizo GESI mtaani unazo ziona ni swala la Muda kama ilivyokua MAFUTA ya TAA Hutoona gesi.

Eneo la FAIDA gesi haina faida kweli ukisema uiuze yenyewe kama yenyewe basi daaaah uwe na mtaji na uwe sehemu gesi zinayoka otherwise UNACHOMA MTAJI.
 
Mkuu sasa mbona uko harshy hivyo? Huo mshahara wa 300,000 kwa mwezi ina maana atakuwa analala na kula kwako au atakuwa anajitegemea kwa kila kitu hadi nauli? Nyie ndio mnasababisha vijana wanakuwa mawinga kwa kupandisha bei bidhaa ili wajilipe mishahara indirectly.
 
Nmekuelewa vyema kiongozi,kwa hyo ili uone faida ya gesi ni lazima uweke na mazaga mengine kama duka la mangi?
 
Nmekuelewa vyema kiongozi,kwa hyo ili uone faida ya gesi ni lazima uweke na mazaga mengine kama duka la mangi?
 
Lakini huo mshahara walikuwa wanalipwa pia watumishi wa serikali wakiwemo walimu mkuu hadi mwaka juzi.ndo wakabadilisha.
 
Lakini huo mshahara walikuwa wanalipwa pia watumishi wa serikali wakiwemo walimu mkuu hadi mwaka juzi.ndo wakabadilisha.
Walimu wana uwezo wa kuiba muda na kufanya shughuli za ziada za kujiongezea kipato. Kumfanyisha mtu kazi 24/7 tangu saa 12 asubuhi hadi 3:30 ni utumwa. Labda kama analala na kula kwake na kupewa nauli au kupelekwa kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…