Kazi ya kufanya on line

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
800
1,000
Kwa wadau wote wa JF
Nimekuwa nasikia kuwa kwa nchi za wenzetu watu huweza kufanya kazi on line na kuwa kama sehemu yao ya ajira.
Naomba kama kuna mtu anafaham kazi mbayo naweza kufanya on line anijulishe.
...Pamoja na kazi nyingine, naweza kufanya kazi zinazo husiana na masoko na mauzo ( sales & marketing)
Asanteni
 
Top Bottom