Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,390
- 5,976
Mwanamke, ana nini cha kumpa mwanaume?
Iko hivi, mwanamke ana majukumu mawili kwa mwanaume wake:
-Kuvuruga mwanaume akiwa ametulia na
-Kumutuliza akiwa amevurugwa
Najua wengine watasema ni harassment, lakin ukweli ndo huo
Iko hivi, mwanamke ana majukumu mawili kwa mwanaume wake:
-Kuvuruga mwanaume akiwa ametulia na
-Kumutuliza akiwa amevurugwa
Najua wengine watasema ni harassment, lakin ukweli ndo huo