Halafu Leo tunamsema magufuli dah ndio tulivyo binaadamuUnashangaa nini, JK amezidi kuwepo kushiriki misiba. Inaonekana Rais anataka huruma ya wananchi waseme rais anawajali kwani anawasindikiza kwenye misiba. Kama wakuu wa mikoa wanamwakilisha katika matukio mbali mbali hili la misiba kwanini asiwakilishwe?
AseeHii thread inanikumbusha ile thread ya Kikwete kumpa dogo pipi. Watu walimshikia bango utadhani kauza nchi kisa kumpa bwana mdogo peremende! Yaani ni kosoa kosoa tu ili mradi wamekosoa.
Binadamu kazikama ajali imetosha kutuma salamu....je si kwa mtumishi tungemshukuru sana kwa kuchagua moja kwenda kuaga au kuzika ..one of that..!!
haiwezekani kuhudhuria maziko ya ajali kwa kuwa hawazikwi kaburi la halaiki kama mv bukoba....lakini kama ni maziko ya halaiki mwaka jana walizikwa wale watoto wa shule karibu arobaini waliokufa huko mbeya kwa moto ....wale angeweza kwenda kwa kuwa ni wengi na walizikwa sehemu moja ...lakini tuliridhika na ujumbe alioutuma wa naibu waziri wa elimu!!
au wale watoto waliokufa Tabora ...hawakuzikwa pamoja...lakini tuliridhika na salamu zake na uwepo wa waziri kapuya!!!
copa cabbanahahhahah watz ni kiboko aiseee yani maisha bila unafki hayaendi kabisa.. ouuky dunia si inazunguka ikifika Rio de janero mnishushe jamani
Ona huyu hapa, ukikutana naye leo anakwambia "nimemiss JK"Wabongo hatuzingatii hilo...nusu karne Mzee anamaliza maendeleo 00% ...
Ila Magufuli mnamlaumu na kumsema vibaya. Bavicha mnaonekana kwa Mungurais hakuwa na sababu ya kwenda kuzika same kwa huyu afisa usalama aliyefariki..kwani kitendo cha rais na mkewe kufika pale mikocheni nyumbani siku ya kuaga mwili wa marehemu...na kwakuwa inajulikana rais ni mtu mwenye mamlaka na kazi nyingi....kile kitendo pekee kilitosha kuonesha upendo wake kwa maafisa wake wanaomlinda na kumsaidia kazi......lakini bado tena amesafiri na kutumia siku nyingine nzima kwenda kuzika same......urais ni cheo kikuu sana ....ingetosha kumtuma mkuu wa mkoa au waziri wa utawala bora ..amuwakilishe kama kweli aliona ...inafaa.....
the president wants to win peoples emmotions at all time....that may not be possibe!!
Nyumbu wakubwa nyie. Leo hii mnamtukana MagufuliHii huwa mara nyingi inatumiwa kukwepa wajibu ofisini
Leo mnamsema Magufulidah ! Haya bhana !