Kazi ya jeshi lazima ugangamare

Kazi ya jeshi lazima ugangamare

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
411
Mmmh!, kwa zoezi hili jeshi si lelemama hata kama ni mgambo.


jeshi.jpg
 
Hao wanamatatizo yao. Duh! I would think that is very uncomfortable!
 
hao jamaa waleralax kabisaaaaaaaaaa, lol
 
hahahaha hawa jamaa wamefanya makusudi wataota sugu ohooooooooo
 
hao wanakalia maeneo ya kigogo, ni wazoefu msiwalaumu
 
sio mchezo, kukalia rungu, BWABWA hajaiona hii, maana angekuwa wa kwanza kuirusha
 
Tehe tehe! Yethuuu yabi barnaba ndo vitu anafanya siku hizi!
 
Hivi hapo wameweka rungu kwenye kalio moja au katikati ya makalio? Teh teh teh!
 
hii balaa si mchezo, ila hawa wajeshi si wangekaa chini tu, au nao wanapendaaaaaaa...............
 
kina dada wa umri wangu wengi wanaipenda kazi hii kwa sababu hiyo!!!
 
kina dada wa umri wangu wengi wanaipenda kazi hii kwa sababu hiyo!!!

eh makubwa hayo kina dada tena wakati picha inaonyesha tu kuwa hao ni madume!!!! hii picha imeniacha hooi yaelekea hao wamezoea kuguswaguswa maeneo hayo nyeti thats why wameamua kuyakalia marungu ili angalau wapate stimuu! balaaaa😕
 
Back
Top Bottom