Kazi ya askari jeshi ni ngumu jamani!!

Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
5,164
6,325
wxp (32).jpg


wxp (32).jpg
wxp (33).jpg
 
Kwani hiyo ndo kazi yao?
Ina maana kina Mwamnyange ndo kazi yao hii, Basi ndo maana tozi mkwere alikula kona.

Hiyo ni sehemu ndogo ya mafunzo ya kukamilisha uanajeshi, ila sio kazi yao kuogelea ktk tope, hiyo kazi ya kambare
 
nyie mazoez ya JW msifanye mchezo...
nchi za rwanda,uganda,sudani,burundi, nk
wanaleta maoficer TZ Kupiga koziiii....
JW nyi si mchezo nyinyi.
 
Kwani hiyo ndo kazi yao?
Ina maana kina Mwamnyange ndo kazi yao hii, Basi ndo maana tozi mkwere alikula kona.

Hiyo ni sehemu ndogo ya mafunzo ya kukamilisha uanajeshi, ila sio kazi yao kuogelea ktk tope, hiyo kazi ya kambare
Ukiingia na level ya chni ya elimu yaweza kuwa sehem ya kaz...................................daima
 
Sifa morali, kama ulijua wanajeshi hawafanyi kazi hayo ndo mambo yetu ya kibeto huwa hatujali hali
Mike…!Jeshin ni kibeto zaid, One whistle, hapo mikazo adui sio Mama yako, so hakuna kuonea huruma kiumbe usicho kizaaa.

Hapo wanaandaliwa watu wachache watakao risk maisha yao kwaajili ya wengi, wataokesha huku wew ukiweza kulala kwa aman bila hofu.
………………
 
Daa unanikumbushia enzi zangu za ujeda Niliambiwa niogelee kwenye choo baada ya kupandisha mnazi mbele ya .....

Wengine hawafahamu maana ya mnazi, fafanua zaidi kwani wengine watadhani mnazi unaouzungumzia ni ule mti wa pwani.
 
Back
Top Bottom