Kazi pekee inayomfaa

Suppose anakaa getini huyu M'baba, unategemea ataruhusu mtu kupita kumwona bosi?
 
Suppose anakaa getini huyu M'baba, unategemea ataruhusu mtu kupita kumwona bosi?

Kwenye shuhuli ya Harusi anaweza kulainia huyu..vimwana wengine noma kwenye matukio..
 
Duh balaa hapo
Kuna watu wana sura ila hii kiboko
Hapa mtoto kama hataki kula ni tishio tosha
 
duh wazee ukipata mlinzi kama huyu yani hata ukija mwenye nyumba unaweza ukakimbia...!
 
ni kweli anatisha ila kwa "my wife" wake anakuiwa laianiiiiiiii kama unanawa vile!! na hata hiyo sura akielekea pande za huko inabadilikaaa
 
Pamoja na kuonekana kua ni mbabe na hiyo sura lakini inawezekana akifika kwa my wife wake anatumwa chunvi dukani!
 
Ndo avae vest iliyochakaa kiasi hiko kisa amjeshi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…