cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 500
Pamoja na kuonekana kua ni mbabe na hiyo sura lakini inawezekana akifika kwa my wife wake anatumwa chunvi dukani!
kwani kutumwa chumvi dukan na mke ni jambo baya,akikuomba umsadie kuchambua mchicha si ndio utakufa kabisa.
b2t:nimependa pozi la huyu mzee.