Kazi pal..

Aloysius

Member
Mar 1, 2011
80
9
Hivi lile Hall Karibu na maeneo ya wizara ya ndani limeandikwa FREE MASONS HALL wao huwa hawaajiri watu?
 
mlango wenyewe wa kuingia pale haunekani.nilitaka nijifanye nimepotea niingie nione kuna nini.mwenye kujua mlango ulipo anielekeze nikawaleteeni picha za ndani.
 
afadhali haw sijawahi kukutana na mtu akasema anafanya richimond au hivi vikampuni vingine ka simyoni niwadai umeme hivi ofisi zao ziko wapi au ikulu?
 
Back
Top Bottom