Mwalimu JF-Expert Member Aug 21, 2008 1,581 1,069 Feb 16, 2010 #1 Kazi nyingine kwa kweli mh.....! Attachments bad-job.jpg 10.4 KB · Views: 416
Pearl JF-Expert Member Nov 25, 2009 3,036 309 Feb 16, 2010 #3 Tena wakati wa maombi unaandika "your faithfully"wako mtiifu
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,871 155,834 Feb 16, 2010 #4 Halafu kazi za hatari, ngumu na mbaya ndio daima mishahara yake huwa inakuwa kiduchuuuu
Renegade JF-Expert Member Mar 18, 2009 7,126 6,764 Feb 18, 2010 #7 mwalimu said: Kazi nyingine kwa kweli mh.....! Click to expand... Du hii Hatari. Hapa lazima kuandika hati ya urithi kabla ya kwenda kazini.!!!!!
mwalimu said: Kazi nyingine kwa kweli mh.....! Click to expand... Du hii Hatari. Hapa lazima kuandika hati ya urithi kabla ya kwenda kazini.!!!!!
M madizo New Member Feb 12, 2010 4 0 Feb 18, 2010 #8 sasa ni ukata kama ni kampuni kweli ifungwe imeshindwa kununua mfuko wa cement ila wanaweza kumlipa mtu kila mwisho wa mwezi
sasa ni ukata kama ni kampuni kweli ifungwe imeshindwa kununua mfuko wa cement ila wanaweza kumlipa mtu kila mwisho wa mwezi