Natafuta kazi kambi za wakimbizi Kigoma

barbieloree

Member
Jan 2, 2024
26
52
Msaada wanajamii forum, naweza pata kazi gani kambi ya wakimbizi mfano Nyarugusu au Kihondo, uko kama sina elimu ya juu kama certificate, diploma na madegree nina elimu ya form four tu
Hata nikipata ya upishi sawa au usafi maofisini au kazi gani nyingine naweza pata
La mwisho mwenye connection anisaidie naomba kama kuna kazi naweza pata kwa elimu yangu.

Ahsanteni
 
Unaishi wapi??nipo Makere,njoo pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom