Kazi ni nzuri kuliko hata mke............? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi ni nzuri kuliko hata mke............?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mtambuzi, May 24, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Sio maneno yangu................Someni wenyewe ujumbe huo hapo chini.............!

  [​IMG]


  IMG00209.jpg
   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Ameuliza hajasema hivyo!!!
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  hata mimi Heading yangu nimeuliza Broda.......................LOL
   
 4. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  \
  Mahesabu ....Toa jibu sasa..................!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kazi ni nzuri kuliko hata mke, mke umempata kwa sababu ya kazi kwa maoni yangu,
   
 6. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Anko kazi nzuri kuliko hata Mume.....!
   
 7. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli, kazi ni nzuri kuliko hata mke, kwa sababu hata mke ukimuoa si una kuwa na KAZI NAYE.....? Au uongo??? Kama unaoa mke bila kuwa na KAZI NAYE, wa nini sasa????
   
 8. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Nafikiri Kazi ni nzuri na muhimu kuliko mke....Mke ni rahisi kupata si kazi asee......
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Hayo maneno ya watu wa mwambao wanaweza kusema hivi kumbe wana maana ileee...kiswahili wacheza nacho kama kuchezea mpira wa chandimu watu hawa
   
 10. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tumngoje Faiza Foxy@Ribosome atatupa tafsiri mwanana ya kiswahili hiki "cha mwambao"
   
 11. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kazi nzuri bhana weee!!. Wanawake wenyewe kwanza hupenda kuwa na mtu mwenye kazi na sio mtu mwenye mke.....hapo ndipo utakapoona hata hao wenyewe wanamthamini mtu mwenye kazi.
   
 12. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Naona kuna km namba ya simu mbele ya swali. Labda alitaka mwenye jibu amtumie kwa namba hiyo.
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Mhmmm!!! Mzee mtambuzi bwana.
   
 14. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Hamna tafsiri youote hapo.
  Huyo dereva kaajiriwa na mwenye magari ambayr ni mwanamke.
  Baada ya kazi dereva anapata huduma nyingine!!
  Kazi ni nzuri kuliko hata mke!!
   
Loading...