Kazi ngumu, malipo kiduchu, shule nyingi kubaki na walimu wa kike

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Kazi ngumu, malipo kiduchu, shule nyingi kubaki na walimu wa kike. Tathimini ya walimu wanaoacha kazi imebaki kuwa siri ya serikali.

Serikali imewagawa walimu;

1. Kuwapa wakuu wa shule na waratibu wa kata posho ya Tshs 250,000/= kila mwezi ili waisaidie serikali kulinda ukandamizaji wa haki za walio wengi.

2. Kuvirubuni vyama vya wafanyakazi kwa kuweka makada wa CCM kuwa wasimamizi wa vyama hivyo ambao wanalipwa mishahara mikubwa na posho kubwa ambazo ni jasho la mwalimu ili waisaidie serikali kukandamiza haki za walimu.

Elimu duni, fimbo ya masikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua ulichoandika kweli? Unajua madhara ya waalimu wengi shuleni kuwa wa kike? Ukitaka jibu nenda shule za mijini uone ambazo waalimu wengi ni wake na videmu vya mabosi uone madhara yake. Kama sio tuisheni shule nyingi za mijini zingefelisha sana.
Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ngumu, malipo kiduchu, shule nyingi kubaki na walimu wa kike. Tathimini ya walimu wanaoacha kazi imebaki kuwa siri ya serikali.

Serikali imewagawa walimu;

1. Kuwapa wakuu wa shule na waratibu wa kata posho ya Tshs 250,000/= kila mwezi ili waisaidie serikali kulinda ukandamizaji wa haki za walio wengi.

2. Kuvirubuni vyama vya wafanyakazi kwa kuweka makada wa CCM kuwa wasimamizi wa vyama hivyo ambao wanalipwa mishahara mikubwa na posho kubwa ambazo ni jasho la mwalimu ili waisaidie serikali kukandamiza haki za walimu.

Elimu duni, fimbo ya masikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu wa shule na waratibu elimu ni miongoni mwa walimu wenzenu, Kama wanawasaliti au kuwaumiza basi makosa ni yao.
Makada wa CCM mnaowachagua kuwa viongozi wa chama cha walimu, wanatokana na nyinyi. Wamejijenga na kupanda ngazi wakati huo wewe ulikuwa unafundisha tuition. Huitaji kuwaonea wivu hao viongozi wa chama chenu, wamekuwa viongozi kwa kupambana mpaka kufika hapo na wewe ulikuwa na nafasi hiyo.
Watanzania sote tuna itikadi zetu nyuma ya pazia, kama kiongozi hata kuwa mwanachama/mfuasi wa CCM atakuwa wa CUF, ACT au hata chadema.

Wanawekwa na serikali kama unafuatilia chaguzi za vyama hivyo utaelewa. Chaguo la wanachama huwa linapigwa pembeni kwa gharama yeyote. Hata hawa wakuu wanalipwa na serikali na mpango huo umewekwa na serikali ili kuwagawa walimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ngumu, malipo kiduchu, shule nyingi kubaki na walimu wa kike. Tathimini ya walimu wanaoacha kazi imebaki kuwa siri ya serikali.

Serikali imewagawa walimu;

1. Kuwapa wakuu wa shule na waratibu wa kata posho ya Tshs 250,000/= kila mwezi ili waisaidie serikali kulinda ukandamizaji wa haki za walio wengi.

2. Kuvirubuni vyama vya wafanyakazi kwa kuweka makada wa CCM kuwa wasimamizi wa vyama hivyo ambao wanalipwa mishahara mikubwa na posho kubwa ambazo ni jasho la mwalimu ili waisaidie serikali kukandamiza haki za walimu.

Elimu duni, fimbo ya masikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakike wanatatizo gani?. cha msingi wa deliver ipasavyo tu, no more

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bora wabaki wanawake walimu wa kiume wanaishia kuwapa tu mimba wanafunzi,
Ina maana mamako aliipata mimba ambayo zao lake ni wewe kwa mwalimu? Kama ndivyo ni sawa kwako kuungana na ccm kuwakandamiza na kuwanyonya walimu! Maliza hasira zako kwao utakuwa umemsaidia mamako kulipiza kisasi!
 
Back
Top Bottom