Kazi na MAGODORO ya MABOSI

kuna uhusiano mkubwa kati ya mawazo yetu , maneno ya vinywa vyetu na pia matendo yetu. usishangae, unachotakiwa ni kuthibitisha kuwa mtu kama huyu anapo pigwa memo, ni kwa haki kabisa. amekosa lugha nyingine hata akasema "magodoro".
we Kindimbajuu ligodogoro ni lilovi tuhu la liyema kulasa kinu fulani. mbona hata tavagosi vakatikemela mabuzi, lofa n.k
 
Sijui kwa nini, mi huwa nakwazika sana nikiona au kusikia wanawake wanaitwa majina ya ajabu ajabu, au wakidhalilishwa kwa namna yoyote ile. Kwangu mimi kila mwanamke ni mama au dada au binti yangu. Heshima kwa wanawake!
 
Sisi tunaofanya kazi chini ya mtu fulani (boss) mwanaume tunakuwa hatarini sana hasa kama boss anagodoro lake hapo. Akikuona unamazoea nae (godoro lake) basi visa havikosi, memo usiseme na hata kufukuzwa kazi muda mwingine.

Tufanyeje kuepukana na hilo?

Kisokolokwinyo mkubwa wewe, unatafuta nini kwa boss wako, kaa ukijua na wa kwako ni godoro la wenzio!! Kuku wa maziwa wewe, kawafundishe hiyo lugha vifaranga wenzio!!
 
katumia lugha ya mficho wajamini msikasirike lol.

Wewe hiyo lugha imekufurahisha sana hata uione inastahili kuwa tafsida eeh?? Haya shangilia na umuite mama/mkeo hivyo!! Unajua hadhi ya godoro wewe? Alinunua babu hata mjukuu analitumia si ndio. Nakusamehe ili ulale unono usiku wa leo!!
 
aaisee kweli wanawake majina tunatungiwa.... Tushakua godoro??

Mambo ya Mtikila hayo shangazi! Yeye alidai mawaziri wote wanawake waliopo kwenye cabinet ya kikwete ni magodor ya mabosi na ndiyo sababu ya kupewa huo uwaziri
 
Back
Top Bottom