Kazi na dawa!!!!!!!!!

Kazi na dawa!!!!!!!!!

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
bodaboda.jpg
Baada ya kazi twajipumzisha kwa uchovu.
 
Halafu wa ntwala ukawazulumu gesi yao hivi hivi,watazaa na mtu kwa kweli!!!!
 
hapo poa kabisa, mbona hata ku.... powa tu kwenye bodaboda
 
Hapo wanazitafuta kwa taaabu wakizipata zote wanampelekea Zainabu.
 
Hizo ni pozi za "mteja-usione-nimelala, nakusubiri-wewe"
 
Mie kwa kweli nilishasema kwa mjini kupanda boda boda hapana labda kijijini pia kama kutakuwa hakuna means nyingine ya usafiri zaidi ya boda boda, yaani kweli kisa cha kuishia mtaroni ni nini?
 
Back
Top Bottom