Kazi na dawa

Hayo mbona madogo,Nina jamaa yangu,alikuwa anampelekea faya msista,
Akitoka ibadani,anakuja gheto,anavaa kanga moja,anapika,arafu anachakachuliwa kama makinikia,
Kilichoniacha mdomo wazi,ni kwamba kanisa na gheto LA jamaa ni mkabala tu,vimetenganishwa na miti ya mazingira ya kiuzunguni,yaani ukiwa gheto,unaona shughuri zote zinazoendelea church
 
Ukahaba wa masista au Ushoga wa mapadri hauna maana kuwa Ukatoliki unapigia chapuo mambo ya kipuuzi
 
Dini huwa haipimwi kwa matendo ya waumini wake bali hupimwa kulingana na mafundisho yake, kwanza unaweza kunywa pombe na usifanye dhambi, ushawahi kujiuliza matendo ya kinyama na mauaji yanayofanywa na waislamu kwa mwamvuli wa uislamu?! Makundi ya kigaidi yanayojinasibisha na uislamu unayaona ni afadhali kuliko kunywa pombe ?
 
Weweeee
Acha mawazo mgando, tafuta hela ya kula watoto wako
 
Usikurupuke kutoa lawama . Unauhakika kama kweli nao ni masister kweli? Tafakari kabla ya kutenda. Kwani yawezekana ni makusudi ya kulichafua KANISA katoliki kwani katoliki ndio lina waumini wengi na Shule nyingi kamaulivyo sema Na Sasa hivi Kumekuwa na Madhehebu Mengi sana hasa haya wanaita ya kiroho Yapo Kwa harakati kubwa ya kuvuna wanakondoo kutoka katoriki ili nao wajijenge .
 
Huyo sista alikuwa mtu wa makamo???
 
Kwanza kwenye amri kumi hakuna inayokataza pombe. Hawa ni watawa ambao kwenye nadhiri zao hakuna kifungu kinasema wasinywe pombe ila wamefunga nadhiri za useja, umaskini na wito. Wakatoliki tunaruhusiwa kunywa hata sherehe zetu zote au shughuli zetu zote dunia nzima hazikosi mvinyo. Yesu alitengeneza mvinyo kama muujiza wake wa kwanza pale Kaanani sasa wewe unatwambia nini?
Mimi naona usipeleke watoto wako huko kwenye shule za kikatoliki, wapeleke kwenye shule za kiislam maana hao ndo pombe ni haram. Tukae tufuatilie wote ni kipindi kipi baa huwa zinakosa wateja je ni kwaresima au Ramadhan?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…