BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,838
Wakuu,
Kuna ndugu yangu anategemea kufunga harusi mwezi wa kumi na moja, imekuwa changamoto kidogo kwa upande wake kupata mtu wa kumsimamia harusi. Kwani amekuwa akipata mtu either dhehebu tofauti au anakuwa mfupi hivyo tumeona iwe fursa kwa mwenye vigezo.
VIGEZO
- Awe mrefu, asipungua cm 170
- Awe anasali RC
- Awe ameoa
MALIPO
- Atapewa suti nzuri, yenye kiwango cha juu na mke wake atatafutiwa nguo nzuri (atachagua yeye)
- Laki na nusu na mke wake laki na nusu
Kwa aliye tayari anitumie sms inbox wakuu
DEAL DONE!!!