kazi mpya changamkieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kazi mpya changamkieni

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by snochet, Apr 30, 2012.

 1. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  1.Dereva mwenye uzoefu wa kuendesha basi kwa ajili ya mradi wetu mpya wa zahanati mwendo (Mobile Clinic) unatarajiwa kuanza kufayakazi mara moja. Nafasi hiii ni kwa ajili ya mtu mwenye uchu wa kuhudumia watanzania walioko vijijini maana unalenga wakina mama na watoto. Huu ni mradi mahususi kwa ajili ya kuchangia indocators za MDG 5 na 6: maternal mortality and HIV and AIDS. Awe mtu mwenye idea ya ufundi wa magari, na multi skilled kwa ajili ya operations za hii clinic (see attached brochure). Si lazima ajue kiingereza lakin awe anafahamu kiasi mambo ya fleet hasa kwenye kuandika report, awe mtu anayeweza kufanya kazi kwa planning,

  2. Technician mwenye idea na IT hasa mambo ya vifaa vya communicaiton vikiwemo projectors, generators etc. Ni vizuri akawa anafahamu kiingereza japo kile chetu cha kawaida kwa ajili ya simple reports, awe na idea ya namna health system in Tanzania works kwenye rural setting, mambo ya bodi za afya, local government authorities, planning circles za disctricts na municipals,

  3. Junior Program Officer: Awe anauwezo japo mdogo wa creative writing, anayejua kutumia computer , office programs especially word, pages, excel and other simple accounting packages, na presentation programs:

  4. Finance officer: walau ajue quick books: nafasi hii ni kwa watanzania

  5. Personal Assistant to the Executive Chair: Awe kijana na preferably wa kike, mwenye elimu ya kutosha na uwezo wa kuongea kiingereza kizuri, awe mtu aliye organized hasa kwenye filing and documentation, si lazima awe mtanzania, lazima awe mchapakazi sana, mwenye nia ya kujifunza kwa haraka, mwaminifu na mpambanaji katika maendeleo.

  Nafasi hizi zote ni kwa ajili ya kujazwa mara moja.

  Tafadhali sana ndugu zangu kama unamtu utapenda ku refer kwa any of the positions announced naomba umfanyie usaili wa mwanzo kwanza ili kunipunguzia kazi. Tunataraji kuweka TOR za nafasi zote kwenye website yetu at www.eabmti.co.tz ( I hope I am correct)

  email us on info@eabmti.com
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu Snochet asante sana kwa taarifa.
  Naomba kuuliza, wewe ni HR katika hiyo kampuni?
   
 3. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hapana,nime-copy na ku-paste hii kutoka kwenye naombakazi blog,jamani TAFADHALI msiniPM,mimi nimecopy tu huku ili kuwajulisha...naona PM zinamiminika tukwangu,contact the adress kwenye hiyo topic thread
   
 4. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hapana mimi sio HR kwenye hiyyo kampuni,wala sihusiki kwa namna yoyote ile,,,mimi nie-copy na k-paste hapa tu!!!source ni *************************
   
Loading...