Kazi kwenu

Kazi kwenu

fungi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
2,539
Reaction score
4,673
10250264_349551378535045_5804931111056682196_n.jpg
 
kuna jamaa black ameonekana mjicho, apo kwenye chaga.
 
Too much kuwamini wazungu..hata ka ni uzuzu unaeza fyonza tuu
 
Hamna second person tusiumizane macho bure nimezoom hadi vidole vinauma sijaona chochote

!
!
fatilia waya wa feni hadi kwenye godoro........kwenye kona hapo kuna kajitu kako uvunguni kanachungulia. Angalia kwenye kona kabisa, kako uvunguni kanaonekana uso tu.
 
Back
Top Bottom