englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Wewe..,.huu mchoro au?
shikamoo habari ya mama
Marahaba mwanangu, mama yako mzima sana. Wewe umeamkaje?
me mzima baba
Nafurahi kujua hali yako. Nimwambie nini mama?
mwambie mama afanye diet me nimepungua kilo moja tayari kwa wiki moja..
Yaani kwenye suala la kula mama yako hajinyimi labda niambie niwe namnunulia nini na nini nimpelekee
kweli hajinyimi....Yaani kwenye suala la kula mama yako hajinyimi labda niambie niwe namnunulia nini na nini nimpelekee
kweli hajinyimi....
Mkuu ale miguu ya kuku? Atakaa ndani kweli au atakua na safari mda wote?
miss chagga unamsikia tayta? Eti mama anakula miguu ya kuku?
Wewe..,.huu mchoro au?
Wapi Tyta?