Kazi jamani,kazi natafuta! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi jamani,kazi natafuta!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kajole, Jun 9, 2011.

 1. K

  Kajole JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  Habari wana-JF?,ni kijana wa kiume na nimegraduate bachelor of accountancy mwaka jana,nimekuwa nikihangaika kutafuta kazi bila mafanikio hvyo pls kwa yeyote mwenye information za kazi naomba 2peane taarifa.
   
 2. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Tuma maombi GGM wana nafasi ya Payable accountant
   
 3. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135

  Fungua hapo na omba usiogope
   

  Attached Files:

 4. K

  Kajole JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  Asante sana mkuu lkn cjajua hao GGM ni akina nani?,kama vp naweza pata link yao?. Be blecd sana
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,162
  Trophy Points: 280
  Kama kweli ukiwa unataka kazi jifunze kuandika vizuri na si kukatiza katiza kama unavyofanya. Hiyo inaonesha karakta yako ikoje. Ushauri wa bure.
   
 6. K

  Kajole JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  Asante sana kwa ushauri wako,nitajirekebisha. Ubarikiwe kwa ushauri wako na nimefurahi sana kurekebishwa
   
 7. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Huna lolote upole wa uwongo ili upatiwe kazi hupewi ng'Oo
   
 8. K

  Kajole JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  Asante pia,sio lazima niwe mpole ndo nipatie kazi au niwe mkali ndo nipate hiyo kazi,kama ipo ipo tu..katika jamani lazima watu kama wewe wawepo
   
 9. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu jamaa amekutumia advert hapo juu nimeiona!ukiwa unatafuta kazi usiogope!you just try!hata pia kuitwa kwenye interview ukiikosa kazi unashukuru umepata experience ya interview!pia nakushauri upeleke CV yako kwa hawa recruitment agencciea like Radar recruitment,erolink nk wao huwa wanatafutiaga watu kazi,na huwa watu wengi wanapata job kupitia kwa hao agencies!

  Kwa kazi ya kuanzia salary sio issue sana!unakamata kwanza then unaangalia ustaarabu mwingine ukiwa kazini!taabu ya vijana wa siku hz anatafuta kazi anataka salary ya kuanzia milion 2!

  Kila la heri mkuu!
   
 10. K

  Kajole JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  Asante mkuu,ntajaribu kuchukua ushauri wako
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Geita Gold Mine ..acha uoga na wewe ..interview bado unaanza kutetemeka ..
   
 12. Kashaija 7

  Kashaija 7 New Member

  #12
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  komaa uskate tamaaa
   
 13. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimefurahi criticism unaipokea katika positive way. Ubarikiwe mkuu natumai utafanikiwa soon katika utafutaji wako.
   
Loading...