Kazi imeanza: Halima Mdee kuongea na Waandishi wa Habari

Hapo Lumbumba siku nzima kazi zitasimama ili kuwinda maneno ya uchochezi.

Wanafanya kazi katika mazingira magumu!!
 
[CCMQUOTE="Slowly, post: 34017179, member: 374329"]
Issue ya kutekwa ndo the last bullet ya chadema, wanataman hata wajiteke ili kus-peed up bullet velocity
[/QUOTE]
Binafsi nailaumu CCM na serekali yake kwa kuendelea kuteka raia na kumbambika kesi, kitu kinacho wapa ajenda Chadema.
 
..ukimsikiliza HOJA za Halima Mdee utagundua kuwa ana akili na uwezo wa kuchambua mambo kuliko wakina Jenista Mhagama, Tulia Ackson, na vigogo wengine wa CCM.
 
Issue ya kutekwa ndo the last bullet ya chadema, wanataman hata wajiteke ili kus-peed up bullet velocity

Pambaf mkubwa,
Kama huna hoja ni vizuri ufunge kopo lako! Swala la kutekwa kwa sasa siyo geni kwenye Utawala wa awamu hii ya Magufulifications. Tuambie kina Saanane, Azory Gwanda wako wapi? Kama ni CHADEMA ndio organizers wa huu utekaji kwanini Serikali ya Magufuli haiwakamati?
Tundu Lissu kapigwa risasi mchana kweupe viwanja vya Bunge mpaka leo hakuna aliyekamatwa si wa CHADEMA wala wa CCM...!!! CCM acheni propaganda za kihunihuni.....ila kuna jambo moja mjue kuwa iko siku haya mambo yatakuja kuwekwa hadharani mchana kweupe....!!
 

1578407993118.png

Huo ni mtaji wa CCM. Vizee na viajuza hivi hakuna shule kichwani na ndiyo maana hivi sasa wanafunzi 52,000 hawana vyumba/madarasa ya kusomea maksudi kuendelea kuwafanya Watz wengi mambumbumbu na vilaza huku CCM ikiendelea kuwafanya mtaji wa kutawala milele...!!!
 
View attachment 1314588
Mwenyekiti wa BAWACHA , jumuiya ya wanawake inayosemekana kuwa na nguvu kuliko jumuiya yoyote ya aina hiyo barani Africa , Mh Halima Mdee atazungumza na Waandishi wa habari Makao Makuu ya Chadema Jumatano hii.

Wote mnakaribishwa

Halima Mdee ni mwanamke wa shoka....!!Magufuli mwenyewe akisikia hili jina la huyu mdada anachanganyikiwa ana tamani ampoteze lakini kwa uwezo wa Mungu ameshindwa kwa Jina la Yesu!!!
 
..ukimsikiliza HOJA za Halima Mdee utagundua kuwa ana akili na uwezo wa kuchambua mambo kuliko wakina Jenista Mhagama, Tulia Ackson, na vigogo wengine wa CCM.
Mahaba yako tu...chongo waita kengeza
 
Ana akili nyingi hadi amemkosa mme wa size yake amuoe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengi wenye IQ ndogo, priority yao huwa ni kuoa, kuolewa na ngono.

Botha yule mbaguzi wa rangi wa South Africa, aliwahi kunena kuwa mtu mweusi anachokijua ni ngono na kuimba. Ilikuwa ni kauli ya kibaguzi lakini yenye ukweli unaoumiza.
 
Back
Top Bottom