MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 847
kuna watu washapigiwa leo. alafu mbona nasikia interview ni tano, yani kuna tatu zinakuja
Mimi bado sija pigiwa. Kesho ndio siku ya mwisho kuvuka stage hii ngoja nione kama nita bahatika. Hao walio pigiwa leo wame ambiwaje mkuu?