Kwanza hapo tu ushaferi usaili
Maana hakuna kitu kinachoitwa coca cola Tanzania, ni atranta marekani tu ndo kuna coca cola
Tanzania kuna Nyanza Bottling Companya Ltd (NBCL) ipo mwanza,inasambaza vijwaji vya kampuni ya coca cola mikoa ya Mwanza,Tabora,Simiyu,Geita,Mara na Kagera!! Na plant yao ipo mwanza
Pili kuna Bonitte Bottling Company Ltd inasambaza vinywaji vya coca cola mikoa ya Arusha,Manyara,Kilimanjaro,Dodoma na Singida, plant yao ipo Kilimanjaro
Tatu kuna Kwanza hawa jamaa wana plant Tartu
I) Dar es salaam inagawa vinjwaji dsm,pwani,Moro,lindi,mtwara na iringa
ii) Zanzibar inagawa huko huko
iii) Mbeya inasambaza mbeya,Ruvuma,Rukwa na Katavi