jaclinemassawe@yahoo.commaombi yatumwe kabla ya tarehe 2/8/2012
Inakuwaje maombi yanapitia kwa anuani ya mtu binafsi tenadomain ya YAHOO!!!
ndio poor procurement hiyo
maombi yakipita kwa mtu binafsi, rest assured hakuna fairness... it means brac doesnt have a good HR system
Knowing BRAC Bangladesh na walivyoexpand na kutoa results kubwa, it is somehow disappointing kuhusishwa na ajiri style hii
something needs to be done soon....
BTW, Brac wana domain and website
very poor reason. kwa hiyo kwa kutumia anuani yako binafsi ndio watu watapatikana kwa haraka?operation imepita kwa waliokuwepo hivyo kupelekea kusimamishwa kazi na watu wanahitajika kwa haraka kwani vikundi vingi havina mao
afisa, hivyo nimechukua jukum hili pia kuna matangazo sehem husika.
operation imepita kwa waliokuwepo hivyo kupelekea kusimamishwa kazi na watu wanahitajika kwa haraka kwani vikundi vingi havina mao
afisa, hivyo nimechukua jukum hili pia kuna matangazo sehem husika.
SASA KWA KUTUMIA HIYO EMAIL MAOMBI YATAWAFIKIA WABOS WA BREC JAMAN??? TUPE UHAKIKA MTOA MADA. Otherwise asante kwa kutujuzanafasi za kazi brac arusha na mwanza ni
1) Accauntacy nafasi 4, arusha.
-degree/diploma ya accauntacy
2)Afisa mikopo nafasi 24, nafasi 15 arusha, nafasi 9 mwanza
sifa za amwombaji
- awe na elimu ya form four na kuendelea
- awe na lugha nzuri kwa watu
mwenye ujuzi na computer atapewa kipaumbele
maombi yote yatumwe kwa email
jaclinemassawe@yahoo.com maombi yatumwe kabla ya tarehe 2/8/2012
Inakuwaje maombi yanapitia kwa anuani ya mtu binafsi tena domain ya YAHOO!!!
Inakuwaje maombi yanapitia kwa anuani ya mtu binafsi tena domain ya YAHOO!!!
nilishawah kupost kazi humu.....mpk povu lilinitoka...anayetaka kutuma atume tuu....nyie mnaohoji naamini ajira mnazo ndo maana.....
kaka kuna watu humu wanacomment katika computer za ofisini huku wana vijiti vya nyama midomoni, anachekecheka na grace pembeni, ajira kaipata kwa mgongo wa baba mkubwa au mjomba, na wengine mke wa mjomba au shemeji zao wanaowakazia dada zao, hao ndio wakatishaji tamaa watu. hawajui mateso yam kiakili ya kukaa bila kazi, na bila elimu wala mwanga wa kutokea]
unatuma cv au nini?kama ni barua vp khs addres ya recipient or receiver mbna hujatuwekea?na unafanya mambo kihuni huni alaaaah
nilishawah kupost kazi humu.....mpk povu lilinitoka...anayetaka kutuma atume tuu....nyie mnaohoji naamini ajira mnazo ndo maana.....
kaka kuna watu humu wanacomment katika computer za ofisini huku wana vijiti vya nyama midomoni, anachekecheka na grace pembeni, ajira kaipata kwa mgongo wa baba mkubwa au mjomba, na wengine mke wa mjomba au shemeji zao wanaowakazia dada zao, hao ndio wakatishaji tamaa watu. hawajui mateso yam kiakili ya kukaa bila kazi, na bila elimu wala mwanga wa kutokea]
Mkuu nimeipenda sana hii,
Mkuu hili Tangazo lingekuwa huo Kenya kusengekuwa na Maswali kama haya, Kinacho takiwa ni Malengo na si kingine mkuu, KUNA JAMAA ANGU MMOJA NI MFANYA USAFI WA OFISI FULANI NA ANALIPWA 200000 KWA MWEZI LAKINI AMEWEZA KUKUSANYA HICHO KIDOGO NA KUJENGA, Na kuna wanaolipwa Milioni 3 lakini hata kiwanja hawana,
Kikubwa ni Lengo na si masilahi,
Hawa wahindi wababaishaji tu.
unajua nachoamini mm hakuna mtu anaelazimishwa kitu kama unaona uhuni si uache kwani nimekufata nikakulazimisha, unajua kila kitu niimani kama hauna imani baki ulipo waache wanao amin watume