Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,925
Sumbawanga kwetu hayapo ya hivi.huko sumbawanga ni hadi yaive ndio utayajua ni matunda gani
Sumbawanga kwetu hayapo ya hivi.huko sumbawanga ni hadi yaive ndio utayajua ni matunda gani
Kule kwenu wapi?Plums kule kwetu tunayaita matunda damu.
MUNGU wangu kitu gani hii?
Tanga?sambaani
Yanaitwa matunda damu
Hahahaah shemeji nipo. Nimeadimika kidogo ila tutakuwa pamoja soon kule jukwaa letu.du.... upo bwana shemeji!toka mmeongoza ligi umeadimika!
Sehemu gani hiyo itaje hahahaaHayo matunda damu, kuna sehemu nilienda nikakuta wanayaita shilaumeni
Soni lushotoKule kwenu wapi?
[emoji485] wineMUNGU wangu kitu gani hii?
We ni Mchochezi, wa huko watakuwa wamenielewaSehemu gani hiyo itaje hahahaa