PreGE2025 Kawe & Kisesa kupata wabunge wapya 2025-2030?

PreGE2025 Kawe & Kisesa kupata wabunge wapya 2025-2030?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,806
Reaction score
3,860
Kwa kauli za Mwenyekiti ni kama KAWE na KISESA sasa inabid watafute wabunge wapya 2025-2030. Mpira upo kwa Wajumbe sasa
 
Divisive attitude. Kwa asili, wamama ni wajengaji wa familia. Ila wamama wengi wa "Cuba" ni species tofauti sana na hawana "vifua" vya kuhimili mawazo tofauti
 
unauliza jibu, hata wakigombea kutopitia fisiem hawatatangazwa kushinda nakuapia, usicheze na mwanamke mwenye na mihasira mihasira halafu ana madaraka.
 
Kwa kauli za Mwenyekiti ni kama KAWE na KISESA sasa inabid watafute wabunge wapya 2025-2030. Mpira upo kwa Wajumbe sasa
Screenshot_20250615-124601~2.png
 
Kwa kauli za Mwenyekiti ni kama KAWE na KISESA sasa inabid watafute wabunge wapya 2025-2030. Mpira upo kwa Wajumbe sasa
Mpira uko kwa wajumbe kwani wana nguvu? Tanzania sasa hivi kila mbunge ni kama anateuliwa na rais.
 
nI kweli samia hana deni? wananchi wote wana umeme majumbani mwao, barabara ni za lami Tanzania nzima, huduma za afya zipo tele kila eneo Tz nzima na zina madaktari na manesi wa kutosha, wafanyakazi wana mishahara hadi wanavimbewa, ajira zipo tele chaguo lako, usalama wa kutosha hata ukilala mlango wazi, wakulima hawana changamoto mvua tele masoko ya mazao yao nk. Juzi tu tumeambiwa na mawaziri wake Mkumbo & Mwigulu kuwa deni la taifa ni 107T, kutoka 56T mwaka 2021 alipochukua kijiti kutoka kwa Magufuli hadi 107T mwaka 2025 ikiwa ni ongezeko la 51T ndani ya 4yrs.Wanaosema mama hana deni wawe wanafafanua zaidi wanamaanisha nini, nchi inaangamia kwa UCHAWA UCHAWA UCHAWA.
 
Itakuwa sahihi, hayo majimbo yalipata bahati mbaya ya kuongozwa na matapeli
 
Kwa kauli za Mwenyekiti ni kama KAWE na KISESA sasa inabid watafute wabunge wapya 2025-2030. Mpira upo kwa Wajumbe sasa
Mpina alidai anaweza pita Kwa chama chochote Sasa ngoja tuone.

Mwenyekiti amesema anaongopa kana kwamba hakuna kitu Serikali imefanya wakati si kweli.
 
Nchii inakelaa hii siku hizi,vitu serious vinajibiwa kimhemukoo "emotionally"! Dah!
 
Back
Top Bottom