Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

Wewe umepiga kura au uko mtandaoni kuzusha uongo? Nyie wenyewe mlikuwa mnapiga kelele kuwa mtajitojeza kwa wingi Sasa inakuwaje Tena mnasema watu wamepuuza? Very stupid...kwa hiyo wale waliokuwa kwenye mikutano ya kibaraka wa mabeberu nao wamepuuza au tuseme hawakuwa wapiga kura?

Kuna kiazi mwenzako ameweka idadi ya wanaccm anasema mko 22m+, na hizo ndio kura zenu. Je huko kwenye vituo vya kura wanaccm hawaendi, au wao wanatembezewa mabox ya kura nyumba kwa nyumba? Shubamiit. Hao waliokuwa kwenye mikutano ya Lisu wana imani na Lisu na sio huo utoto uitwao uchaguzi.
 
Askofu mcheza pono katika kashfa ya wizi wa kura, mwenzake wa south africa Bushir yupo mahakamani na mkewe kwa utapeli na utakasishaji
 
Attachments

  • Screenshot_20201027_201028.jpg
    Screenshot_20201027_201028.jpg
    47.9 KB · Views: 3
Hizi taarifa ni feki, mleta Mada anahitajika kukamatwa, Mchochezi

Kwa taarifa kama hizi feki Ni bora internet iendelee kusumbuwa.
 
Hebu angalia kwa umakini uniambie kama polisi hawapo hapo..

Hili lifanyiwe kazi zilikotoka hizo karatasi fake kujulikane. Vinginevyo ni Uzushi uliotengenezwa

CHADEMA wana kiwanda cha uongo - Jakaya Kikwete
 
Kakojoe ulale. Si kwa kiwango hiki cha kufikiri.
Wazushi wakubwa nyie...mwambie hivyo baba yako mzazi na pia mama yako aliyekuzaa...mwambie baba nenda kakojoe ulale halafu nenda kwa mama yako aliyekuzaa mwambie mama kakojoe ulale
 
Wananchi wa Kawe wakichoma moto kura za maruhani zilizokuwa tayari zimeshapigwa kwa wagombea wa CCM. Mungu wabariki wananchi hawaView attachment 1614622
Huu ni Uongo na wawazi kabisa mmepika hiyo taarifa, ingalikuwa ni kweli mngeonesha hao waliopigiwa kura.
Na pili hao wanaochoma moto kwanini wachome moto ushahidi?? Kama ni kweli, na wamepata wapi mamlaka ya kuchoma moto mali ya serikali kama ni kweli?? NDIO MAANA NASEMA HUO NI UONGO, TENA UONGO WA WAZI, NYIE ENDELEENI KUFANYA DRAMA TU.
 
Hili lifanyiwe kazi zilikotoka hizo karatasi fake kujulikane. Vinginevyo ni Uzushi uliotengenezwa

CHADEMA wana kiwanda cha uongo - Jakaya Kikwete
Wee mwanamke hebu punguza resi basi.. Chadema wanakuwaje waongo ilihali makaratasi yametikiwa ccm yote hayo na polisi wanajionea upuuzi wenu unaoturnish uchaguzi huu.
 
Alishakosa kibali alishakataliwa Hadi na wanyama why alazimishwe ushindi Mungu atamuaibisha sana, angesoma unabii wa kukataliwa na wanyama angepata kitu
 
Attachments

  • Screenshot_20201018_163151.jpg
    Screenshot_20201018_163151.jpg
    59 KB · Views: 3
Wee mwanamke hebu punguza resi basi.. Chadema wanakuwaje waongo ilihali makaratasi yametikiwa ccm yote hayo na polisi wanajionea upuuzi wenu unaoturnish uchaguzi huu.
Utajua baadae kidogo
 
Kuna kiazi mwenzako ameweka idadi ya wanaccm anasema mko 22m+, na hizo ndio kura zenu. Je huko kwenye vituo vya kura wanaccm hawaendi, au wao wanatembezewa mabox ya kura nyumba kwa nyumba? Shubamiit. Hao waliokuwa kwenye mikutano ya Lisu wana imani na Lisu na sio huo utoto uitwao uchaguzi.
Kama unajadiliana na kiazi Bila Shaka huna kitu kichwani.wazushi wakubwa nyie.yaani mnaandaa kura fake na kuzichoma Moto ili iwe Nini?
 
Back
Top Bottom