Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

Hakuna kitu kama hicho,kura unayokwenda kudumbukiza kwenye sanduku haina namba kabisa,kwa hiyo hakuna uhusiano wowote na mawazo yake,nimepiga kura na sijaona karatasi ya kura ikiwa na namba hizo wala sirio namba,uhongo mkubwa
 
Sasa kura feki unazitoa wap maaana kura zinazohesabika ni ambazo zpo kwenye boxi, chadema bana! kichapo kipo pale pale
 
Nani afe kwa wizi wa wazi wa kishamba
Orodha ya wapia kura kubwa kuliko uhalisia
Mnasubiri tukimaliza wapigakura halisia muanze kujaza uongo
20201028_084441.jpg
 
Uchaguzi ushaharibika tayari
Ushenzi huu ulitarajiwa
Halafu kuna mtu anasema Time iko huru
 
Ila pia yawezekana mtu kachapisha ili waonekane wabaya, mana kama zimekamatwa wangeonesha aliekamatwa
Ni mipango tu
 
Back
Top Bottom