Kawe Club: Beware of food poisoning

Hivi ni vita vya kibiashara. Ni mara ngapi watu majumbani mwao inatokea ukala kitu kikakudhuru na mwingine akila kisimdhuru. Ni mara ngapi dawa ya SP (Fansidar or Metakelfin) impofusha watu wengine macho na wengine ndio tiba yao kubwa. Hii inategemea na CD4 za mtu. Wana JF wengine wasifanye mahali hapa pa kufanyia majungu ni vizuri kuwa na watu ambao hawana hila ndani yake.

Ndugu, tusiendelee kufuga ugonjwa!
Kama watu hufa majumbani kwao kwa makosa kama ulivyo yataja, basi bora tuelimishe jamii. kama pale Kawe club kuna tatizo, basi siovibaya kuieleza jamii. Imagine one of those suspected of being poisoned was your relative ...

Nadhani aliyeanzisha post hii alikuwa na lengo la kutahadhari jamii tuu, ila kama wewe unataka kuwendelea kula pale, ni sawa tuu.
 
Hivi ni vita vya kibiashara. Ni mara ngapi watu majumbani mwao inatokea ukala kitu kikakudhuru na mwingine akila kisimdhuru. Ni mara ngapi dawa ya SP (Fansidar or Metakelfin) impofusha watu wengine macho na wengine ndio tiba yao kubwa. Hii inategemea na CD4 za mtu. Wana JF wengine wasifanye mahali hapa pa kufanyia majungu ni vizuri kuwa na watu ambao hawana hila ndani yake.

Kama hii ingekuwa vita ya biashara tumeshajua we ungekuwa upande gani.

Hivi unavyosema "inategemea na CD4 za matu" unamaanisha kwamba watu wakilishwa sumu ni sawa tu ili mradi wenye CD4 kubwa hawafi?
Hebu soma tena ulichoandika, halafu ufikirie kama ungekuwa na akili timamu ungeandika hivyo. Unamaanisha mmiliki wa kawe club anahaki ya kuweka mazingira yake machafu kwa sababu baadhi ya wanaokula pale hawaumwi matumbo? Au unaamnisha ni haki yake kuwaletea watu nyama zenye anthrux kwa sababu kuna watu wengine watadhurika na wengine hawatadhurika? Make use of that stuff between your ears before you write.

Unaambiwa watu wanakufa unasema majungu. Nenda kaulize pale Osyterbay polisi kama hawana hizi taarifa, halafu uje hapa uendelee kupayuka "majungu".

Au unataka JF iwe na habari zinazokupendeza wewe tu? Matatizo yetu ni kwasababu watu kama wewe ndio majority nchi hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom