Fisadi.Jones
Senior Member
- Aug 15, 2008
- 110
- 7
Kwa wateja wa Kawe Club, hasa wa nyama ya ng'ombe, kuna haja ya kuwa makini kama unajali afya yako.
Hivi karibuni kumetokea cases zinazojirudia za watu kuugua matumbo vibaya sana baada ya kula nyama ng'ombe pale Kawe Club. Kiwango cha kuugua kinaonekana kutofautina kati ya mtu na mtu.
Na nimesikia kuna cases tatu za watu kufariki kutokana na hili, either kutokana na ugonjwa au complications zilizotokea baada ya kupata matibabu.
Na inavyosemekana hata polisi wana taarifa (Oysterbay Police), lakini hakuna hatua zilizochukuliwa kwa sababu zisizo wazi.
Kuna daktari ame-suggest kwamba inawezekana cases hizo zimetokana na kirusi flani hatari kinachodhuru binadamu na wanyama.