Kawambwa ni Mzigo kwa Taifa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kawambwa ni Mzigo kwa Taifa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by spencer, Feb 14, 2012.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  GreatThinkers,

  Shukuru Kawambwa ni kwa sasa ni waziri wa Elimu.
  Matokeo ya form4 yaliyo tangazwa mwaka jana 2011, 11% ndio waliopata kati Div (1-3) waliobaki walikuwa Div 4 na Totally Failures.

  Katika 11% ya waliofaulu, 9percent ni private na 2% ni Government.
  Matokeo kama hayo pia 2012 pia tumeyaona. Je huyu anafanya nini hapo wizarani-Serikalini watoto wetu wanasoma kweli au wanatupiga changa la macho angali watoto wao wanasoma International School of Tanganyika?
  Je migomo ya vyuo vikuu imeisha, St Kayumba wanapata mkopo sasa?

  Si Mara ya kwanza-kabla ya kuhamishiwa wizara ya Elimu alikuwa wizara ya Miundombinu awamu hii hii ya nne-Moja ya madudu aliyofanya na kusimamia ni ujenzi wa barabara ya Kilwa-DSM pamoja na Mandela-DSM. Zote zilikuwa chini ya kiwango na baadaye alipohamishwa Magufuri alizikataa na kazi imebidi kurudiwa barabara yote ya Kilwa. Huyo ndiye Kawambwa.

  Hapo awali JK alipoanza Urais Kawambwa huyu huyu alikuwa wizara ya mawasiliano lakini hasa aliwekwa ili dili za mkongo wa mawasiliano aweze kula dili kama ambavyo alishindwa ktk miradi ya Barabara na sasa anakomaa na ujenzi wa chuo kikuu kipya cha Afya.
  Mimi kwa maoni yangu bila kumuonea mtu wivu wala nini

  Kawambwa hafai
   
 2. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kawambwa yupo hapo kwenye baraza la mawaziri kwasababu ya undugu wake na Jakaya hamna kigezo kingine; ingekuwa wanafuata utendaji wa kazi kama kigezo cha kuwa kwenye cabinet huyu bwana angeishaondoka zamani sana kwani HAFAI!!
   
 3. K

  Kizotaka JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  matatizo ya hawa jamaa kwa upande wa shule tatizo kubwa ni sisi wananchi wenyewe kwanza hatujui elimu bora ni ipi? ndo mana tumechangia ujenzi wa shule za kata tukiona waziwazi hazina ubora wowote wa miundombinu ya elimu, kwa ujumla hatujui maana na umuhimu wa shule za umma, matokeo kila mtu anang'ang'ania english medium. hata walimu wakigoma tunawashangaa sababu hatujui lolote kama ilivyo kwa madaktari,sasa huyu kibuyu na vibuyu wengine wanatumia udhaifu huo. ila wananchi wakiisanuaaa, hawa vibuyu wajishike. Tunoa ijua michanga ya macho yametufika kooni
   
 4. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kawambwa hana historia ya utendaji, hana tofauti na Asharose Migiro.
  Ni kondoo asiye na kauli yoyote huyu mtu, ashukuru ushemeji unamwokoa!...Majuzi alikaliwa kooni na waandamanaji wa kiislamu akaongea kauli ambazo naamini alipofika ofisini alilazimika kuitisha kikao kuweka sawa kumbukumbu!
   
 6. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Wapo pale kwa ajili ya kujaza matumbo yao hawafikirii kabisa wananchi wa chini
   
 7. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Pia ni mchezaji mzuri wa kareti,nimewai shuhudia game yake.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,475
  Likes Received: 19,871
  Trophy Points: 280
  kwa nini wanambeba beba huyu kilaza?dini yake au? kwani watu wa dini yake si wapo wengi tu ambao ni 100% bright? undugulization na ushkaji unatuua kweli
   
 9. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Nilishawekaga bandiko kama lako kabla hajahamishiwa Wizara ya Elimu, nadhani ni Waziri ambaye yupo kwa ajili ya undugu wake na JK lkn hana uwezo kwa kweli.
   
 10. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huyu kazi yake kucheka cheka tu kama ndugu yake. Vile vile hana maamuzi kama ndugu yake. Huyu arudi kufundisha tu. Kule alikuwa na faida.
   
 11. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Kutokana na uwezo wake kuwa mdogo, Rafu inweza kuchezwa na walio chini yake na yeye asijue chochote.
  Hilo nalo NENO!
   
 12. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Natofautiana na wewe mkuu.
  Yote uliyoyasema juu ya Kawambwa hayana mshiko.
  Matatizo ya Wizara ya Elimuyapo hapo siku nyingi sana hata kabla ya yeye kuteuliwa wizarani pale.
  Kwa mantiki ya usomi, vijana wa sekondari hukaa shuleni miaka minne, kupata DIV 4 si matokeo ya mwaka mmoja, ni accumulation of failures.
  Ni vema ukatueleza wizara iliyoexcel kwa kipindi hiki katika utendaji, kipindi ambacho serikali nzima ina ukata wa kutisha.
  Kweli Kawambwa hana machachari wal kujivuna au kupenda mapambano na malumbano, kwa tunao mfahamu hebu mchokoze.
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwani hamjui jinsi aliyekuwa Katibu Mkuu wake Omar Chambo alivyo na miradi mingi yenye conflict of interest na Wizara?...kazi zote za ujenzi wa miundombinu chini ya wizara yake anahakikisha kampuni zake zinashindishwa kwa gharama yoyote!
   
 14. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kule UDSM alishapewa notice kwamba asingejirekebisha katika uchapishaji majarida alikuwa mbioni kufukuzwa kazi na ndio maana akakimbilia kwenye siasa!!
   
 15. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  tatizo sio kawambwa,tatizo utawala wa ccm!darasa la 4 la mkoloni ni bora kuliko form 6 ya leo tanzania
   
 16. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kuona jina la huyu kiumbe humu leo ndo nakumbuka kumbe nae ni waziri.
   
 17. N

  Newvision JF-Expert Member

  #17
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I think He should not solely shoulder the blame we should consider also other multiple factors. Watoto wenyewe siku hizi wanapenda starehe na bongo fleva kuliko shule, walimu hawako committed, vitabu havipo kama vipo havitoshi basi yako mengi Kawambwa ni moja tu
   
 18. King2

  King2 JF-Expert Member

  #18
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkwerè na elimu wapi na wapi?
   
 19. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #19
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  siyo mzigo ni Zigo!
   
 20. S

  Shembago JF-Expert Member

  #20
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo si Kawambwa mwalimu wangu pale FOE siku hizi COET,ILA NI MFUMO ULIOZA WA SERIKALI INAYOONGOZWA NA MAGAMBA! Newvision and Masopakyindi mmeona mbali!
   
Loading...