Usinifokee
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,502
- 3,525
Wewe mwanamke unayekubali jamaa kama huyu dah!! Sijui inakuwaje yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana ni polisi wa kenyaMgambo
Mjeda tena mpKwa wale wataalam wa mambo hebu tuambieni huyu bwana harusi atakuwa anafanya kazi kitengo gani....?View attachment 1306218View attachment 1306219
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine kaangalia pochiWewe mwanamke unayekubali jamaa kama huyu dah!! Sijui inakuwaje yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu Wa aina hyo wanakuwa wapole na wenye huruma sana.Kwa wale wataalam wa mambo hebu tuambieni huyu bwana harusi atakuwa anafanya kazi kitengo gani....?View attachment 1306218View attachment 1306219
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kitengo cha watu wasiojulikana
Huyu mwanamke akichepuka tu imekula kwake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa wale wataalam wa mambo hebu tuambieni huyu bwana harusi atakuwa anafanya kazi kitengo gani....?View attachment 1306218View attachment 1306219
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwanamke unayekubali jamaa kama huyu dah!! Sijui inakuwaje yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama hao wanakuwaga na roho nzuri sana tofauti kabisa na mwonekano wao. Mfano mzuri ni mimi mwenyeweHuyo Dada siku akizingua atakiona cha mtema Kuni Akii, Kauzu hadi siku ya harusi[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh,mkuu nawe ni Kauzu kimuonekano?, shida inakua na nini mpaka kuwa hivo?,kweli inawezekana ni muonekano tu ila tabia nzuriWatu kama hao wanakuwaga na roho nzuri sana tofauti kabisa na mwonekano wao. Mfano mzuri ni mimi mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app