Kauzu zaidi ya dagaa

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,963
3,675
12795489_1681424522120618_6509573513852521566_n.jpg
 
Kuna vitabu vinakuwa na lugha mbili, ukigeuza huku may be kishwahili na upande mwngne may be kiingereza so ukiwa unasoma upande mmoja automatic kitabu kinakuwa kimegeuka kwa upande mwngne
 
Pia mkumbuke kitabu kinaweza kuwa cover lake lilitoka kwenye kurudisha wakaligeuza ua halikurudishiwa kabisa so ameshikiza tu bahati mbaya akaligeuza hilo cover.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom